Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
tindikalikali
Jiandae pia kukosa msaidizi wa kusimamia education ya watoto wako, maana homework za watoto katika tender age ni lazima kuwe na mtu madhubuti wa kusimamia, vyenginevyo msingi mzuri wa watoto utakosekana....
Kama unaangalia starehe zako well and good ila kama unawazia offspring wako, fikiria kwa makini zaidi.
All the best.
asante mkuu nimejifunza ktu
Last edited by a moderator: