Ndugu yangu mpendwa Dr. Mwigulu Nchemba. Wewe ni mwenzetu toka siku nyingi. Sema tu kuna wakati fulani pepo lilikuingia ukawa mfia CCM wa kutupwa usijue kuwa kuna siku CCM itakuwa mikononi mwa dubu fulani. Naamini umejifunza mengi hadi hapo ulipofikia na kwa yaliyokukuta. Ila taarifa za koridoni ni kwamba hilo jimbo Jiwe kamwandaa mtu wake, yule unayemfahamu. Aliwahi kuwa upinzani kabla hajapewa vipande 30 vya Yuda.
Ila ushauri ni kwamba kama yanayozungumzwa ndio kweli basi tafadhali hakikisha unatubu na kumrudia Mungu kwa damu za watu zilizomwagika kwa amri yako au kwa kushiriki moja na moja. Halafu sielewi kwa nini ulijiingiza huko ambako wala hufanani nako kabisa! Wewe size yako ni utu wema, fadhili, upendo, na yanayofanana na hayo. Maisha yenyewe Dkt yako wapi? Mbona ni ya muda mfupi tu? Waachie akina Bashite wasiojua nini maana ya kuishi.
Asante Dkt.