Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,344
- 6,403
Naona unajibu MASWALI RAHISI RAHISI tu!NI MTANZANIA TANGU ZAMANI
Naona unajibu MASWALI RAHISI RAHISI tu!NI MTANZANIA TANGU ZAMANI
SawaNI hesabu ndefu
Sikuwahi muelewa huyu Mzee skafu kwa majibu yakeUmetuangusha sana mheshimiwa, ukiwa Waziri wa Mambo ya Ndani kuna mambo ya ajabu sana yalikuwa yanaendelea hapa nchini, natumaini kuna siku watu wote waliouawa wataipata haki yao.
ok, kumbe mbunge anaruhusiwa kusema yale aliyowafanyia wapiga kura wake, but wale wengine hawaruhusiwi kuonesha dalili zozote za kuitaka hiyo nafasi.Hiyo NI advantage, KANUNI zinaniruhusu
INIHUSU KWA KUWA UMESEMA AU KWA KUWA UNATAKA INIHUSU? YAAN RAFIKI YANGU UNAISHI GIZANI KWELIKWELI. ULILISHWA MATANGO PORI YA KISIASA, WALIKULISHA WALISHAHAMIA CCM WEWW BADO UNASHIKILIA. MAISHANI MWANGU SIJAWAHI KUHUSIKA NA HATA JASHO TU LINALOTOKANA NA MATESO KWA MTU. ACHILIA MBALI DAMUPiga ua damu iliyomwagika Soweto inakuhusu na itakutesa maisha yako yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.
Hilo ni TATIZO la UELEWA BINAFSI MAANA IRAMBA WANANIELEWA SANA
Ingefaa ukaelimisha wote hapahapa ili kando hili liwe jemaHilo ni Jambo AMBALO hulielewi KABISA, nitafute nikuelimishe.
Iramba bado ina kiu ya maji si ndio?URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Huduma za afya hasa hospitali wananchi wa jimbo la iramba magharibi wanategemea Puma mission, Makiungu na Itigi.NDIO kwa kiwango KIKUBWA SANA
Bora umeuliza hili swali maana kasema atajibu hapa hapaNdugu Mwigulu, Ben Saanane aliuawa kwenye kipindi chako. Mlimzika wapi?
Huna taarifa hata kidogo, fuatilia upate ukweli ndio uje uandike. Kama kawaida nadhani unatamani niishi kama mbwa koko. nikuhaikikishie watafute wenye taarifa wakwambie nani aliwasaidia walipokuwa na matatizo
babu shule ushamaliza. mambo ya kuongelea mitihani ya shule ni nonsense. tuambie shule yako imekusaidia vipi kutafuta namna ya kuishi bila kutegemea siasa?Sio KAWAIDA YANGU KUPANIC, SIKUPANIC KWENYE MITIHANI NIJE NIPANIC KWA SASA😄😄😄😄😄
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Lakini mh tunaoba hata maeneo ambayo ccm anafanya siasa muda huohuo chadema wanazuiliwa hiyo kutotumia fursa vizuri unamanisha nini?Hili Jambo kila mtu amepewa fursa ila wenzetu hawajaitumia vzr
Multiple choice kwa kinilaamba mnaitaje?Huu sio mtihani wa MULTIPLE-CHOICE