Ana kwa Ana na KIZEE CHA KIRARACHA

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Nipo Hotelini nilipofikia hapa A Town, asubuhi naamka naenda Kupiga stat gari langu na kukabidhi Key ya chumba kwa hotel Attendant niweze kuingia kilingeni (Kibaruani), Mapokezi nakutana na Mzee wa Kiraracha, anaonekana kumpa tabasamu kila amuonaye,tabasamu linaloashiria "Umeniona Mbunge wa Vunjo Hapa na Point zangu nje na ndani ya Mjengo, Nipe Hi basi...",mie namchunia na kutokumpa attention yangu na ku act as if nimekutana na mlinzi wa hotel, namkabidhi attendant key na kumpa maagizo anihamishe chumba maana chumba nilichokuwa nilikuwa sipati network vizuri, Mzee wa Kiraracha anajaribu kumsemesha attendant ili asikilizwe yeye na mie niwe interupted,attendant akamwambia subiri Mzee,Policy ya hapa ni first come first serve (Aliyaongea haya kwa kiswahili lakini), Nikampa mkono attendant na kumwambia "Good job", kisha nikajikata zangu kisabuni....
Ila Mzee wa KIRARACHA KIDOGO ANA NG'AA NG'AA Wajameni
 
Hao ndo watz, chuki bila hata kosa, halafu anatueleza. Huo ni ulimbukeni, hayo majivuno ulipashwa umwonyeshee Mkeo manake ndo atakejali. Watu wazima cc hayatuusu. Meza hiyo.
 
chuki yote ya nini kaka. mrema mchapa kazi rekodi yake asilimia 28 kura wakati daktari wa ukweli aslimia 26.
 
Duh huyu jamaa hatari hiyo inaitwa kumpa mtu shit kubwa, acha hizo mkubwa
 
Unataka tujifunze nini hapa mkuu.............sijaelewa
 
Papa Bramo kanda ya nini, juu ya nini mukulu chuki si nzuri yule ni km mzazi wako msalimie tuu mpe heshima yake hata mungu atakubariki.
 
useless....ovyo sana wewe....ni kitu cha kijivunia hicho? vunja record yake!!!!!!
 
Record yake amesisha i destroy yeye mwenyewe,so ni kama vile Record yake na what he is doing vime cancel each other na resultant ni ZERO..
Hana tofauti na wazee wengine so i cant grant my attention to every Old Man
 
Unatueleza ili tufanye nini mtu mzima hovyooooooooooooooooooooo

Mbona imeku touch ivo Dadaangu, mnatakiwa kuwapa shit na kutojipendekeza kwa wale wote wanaooneka kukwamisha true changes katika nchi yetu, despite the Good Record aliyojiwekeaga,amekwisha ichafua na Overall result now ni Zero
 
Hao ndo watz, chuki bila hata kosa, halafu anatueleza. Huo ni ulimbukeni, hayo majivuno ulipashwa umwonyeshee Mkeo manake ndo atakejali. Watu wazima cc hayatuusu. Meza hiyo.

Whats wrong had my wife done for me kustahili nililomfanyia MP ?
 
chuki yote ya nini kaka. mrema mchapa kazi rekodi yake asilimia 28 kura wakati daktari wa ukweli aslimia 26.

Hatuangalii %age,tunaangalia idadi ya watu waliomchagua Mkuu....
 
mashauzi yako mpelekee mkeo,mi kidogo nijue umelewa? mnh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom