Heheheeeeeeee PakaJimmy njoo uone, eti unanimendea?Kama unataka wa peke yako check na Nyani Ngabu huyo tu ndio namuamini ingawa hata mwanzo nilimuamini sana PakaJimmy ila alipoonyesha interest kwa Remmy nimemtoa kwenye list
Pia The Boss alionyesha kummendea Amyner wakati wa nataka kuachika lol sina imani nao tena
Dah najua mara ya Mwisho alikuwa wapi ila kwa sasa sijui
Unafahamu alikoi unisaidie sweetlady ?
Teh unadhani hata nikijua ntasema?
We na wenzako hamkawii kuniharibia
Hehehee mwite tu siogopi
Catherine ni mpenzi wa nani?
HayakuhuuuuTehe tehe tehe !
Pole sana......kumbe hata hujui yuko wapi!
Thanks kaka!Mr. 52 ,
The missin' of your Lover my Shem Amyner is a sad event in your lifetime currently, and words of SYMPATHY added kutoka kinywani mwangu.
Let that my Shemeji know how much you care her!.
I hv shocked with saddened to hear abt missin of Amyner.
Plz accept my sincere Soothin' on your currently loss.
We all share in your grief at this difficult time.