Je, ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie especially kwa msg kuwa i love you so much?

La Princesa

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
1,040
1,136
Helo good people!Natumai nyote ni wazima,kwa wagonjwa na wenye majanga poleni Mungu awatie nguvu..

Guys,je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie especially kwa msg kuwa i love you so much?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie...wow una kucha nzuri au una midomo mizuri?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie,nimekumiss nimekupigia simu mara tatu mfululizo hupokei jamani mpaka roho inaniuma?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie ni kwa nini unanipenda?

Je ni sawa mwanaume kumwambi mwanaume mwenzio kuwa hapo kati sasa kumenoga?

Hebu wanaume nisaidie katika hili..kuna mtu amegundua mmewe anachati na mwanume mwenzie msg za mrengo huo na amechanganyikiwa sana...!
 
😅 😅 😅 😅 :cool:
 
Wasenge walikuwepo toka zamani. Ndo maana hata vitabu vya dini vimeandika mambo haya. Watu wa siku hizi ni kama wa zamani hivyo wapo wasenge na rijali
 
Helo good people!Natumai nyote ni wazima,kwa wagonjwa na wenye majanga poleni Mungu awatie nguvu..

Guys,je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie especially kwa msg kuwa i love you so much?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie...wow una kucha nzuri au una midomo mizuri?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie,nimekumiss nimekupigia simu mara tatu mfululizo hupokei jamani mpaka roho inaniuma?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie ni kwa nini unanipenda?

Je ni sawa mwanaume kumwambi mwanaume mwenzio kuwa hapo kati sasa kumenoga?

Hebu wanaume nisaidie katika hili..kuna mtu amegundua mmewe anachati na mwanume mwenzie msg za mrengo huo na amechanganyikiwa sana...!
Huyo ni wali analiwa na masela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyooo aliyefumania ni mwanamke kuwa bwana wake ndio anasifia mwanaume mwenzake au bwana wake huyoo demu ndio anasifiwa?kama huyu mwanaume ndio anasifia nipe namba yake nimpambanie maana atakuwa chakura ya watu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Helo good people!Natumai nyote ni wazima,kwa wagonjwa na wenye majanga poleni Mungu awatie nguvu..

Guys,je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie especially kwa msg kuwa i love you so much?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie...wow una kucha nzuri au una midomo mizuri?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie,nimekumiss nimekupigia simu mara tatu mfululizo hupokei jamani mpaka roho inaniuma?

Je ni sawa mwanaume kumwambia mwanaume mwenzie ni kwa nini unanipenda?

Je ni sawa mwanaume kumwambi mwanaume mwenzio kuwa hapo kati sasa kumenoga?

Hebu wanaume nisaidie katika hili..kuna mtu amegundua mmewe anachati na mwanume mwenzie msg za mrengo huo na amechanganyikiwa sana...!

Ugomvi wake wataamulia FFU ukiniambia hivyo wallahyy🤣🤣🤣🤣🤣
 
DEEDAC29-13A6-46AF-91DF-EA747D73AB15.jpeg
 
Back
Top Bottom