Amyner..Miss you so Much!

umetoka wapi na hili jambo tena braza?
mbona umeanza kuwa na gubu kama la fulani?
mm na Amyner tushamalizana...
au umesahau kuwa fimbo ya mbali haiui nyoka?
BAGAH naona umesahau ....hena kindu chenona vabwange....
 
Last edited by a moderator:
Asipokwambia wewe, atanambia mie?
Wala sijui yuko wapi.
Dah unanikwepa Remmy
Sawa ngoja asipopatikana hadi ijumaa nahamia kwako mazima na asiniletee pressure mtoto wa watu
 
Last edited by a moderator:
Dah unanikwepa Remmy
Sawa ngoja asipopatikana hadi ijumaa nahamia kwako mazima na asiniletee pressure mtoto wa watu

Heheheeeee......
Aminery usirudi plz
Mie nichukue mzigo.
 
Last edited by a moderator:
Heheheeeee......
Aminery usirudi plz
Mie nichukue mzigo.
Yan mi ndio nimekuwa mzigo Remmy ?
Lol huna hata kugha nzuri unadhani mi ntakupenda hivyo kweli?
 
Last edited by a moderator:
eric huyo zipu haeleweki. Amyner hajapatikana tu!
Yan anapatikana kwa mafichoni tu lol sijui anamwogopa nani humu
Ngoja nimbembeleze tu atakuwa usijali Catherine
BTW Huyu Zipuwawa kafulia hana lolote mwanaume anaulizwa unataka nini anabaki ooooh aaaah mara eeeh lol
 
Last edited by a moderator:
Yan mi ndio nimekuwa mzigo Remmy ?
Lol huna hata kugha nzuri unadhani mi ntakupenda hivyo kweli?

Nisamehe my love!
Nimekulia kitaa mwenzio.
You know how much I love you.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…