Amyner..Miss you so Much!

Amekuja sasa sijui patna wangu Kipipi wapi utamuweka??
Wewe naweeee!
Unajua ingekuwa kipindi kile mmetugombanisha sawa ila kwa sasa hampati kitu.
 
Last edited by a moderator:
Alafu nyie mnaonihusisha kwenye mauongo uongo yenu . . . .mjue nawachora tu!

BTW, welcome back Amyner my dearest.
Nimekumiss ile ile yaani!
 
Last edited by a moderator:
Ooooh my boo... Erickb52 !!!

Kwa uzito pia na umuhimu wa Thrade hii ya bwa'mdogo wangu @52 , imenilazimu nitie maguu (kwa dharura)
Baada ya kukiona kilio cha ndg yangu kumtafuta "usingizi wake" tena kwa kilio cha hadharani!
Na "usingizi wake" uka respond wito! Nimefarajishwa sana na Amyner kumtendea haki mwenza wake! .
Aidha niondoke kurudi nilipovundumkia nikiacha a certain message to chtcht members ;
The first step toward change is ACCEPTANCE!
"Once you accept yourself , you open the door to change , that's all you have to do!"
Change is not somethin you do!
It's somethin yo allow! .
Kila la kheri Amyner (my shem) together with Erickb52 , kamueni .
Hopely ujumbe wangu umefika kwa niliowakusudia i'm back to Buza .
 
Last edited by a moderator:

Thanks bro...!
Hope tuko pamoja...ila ukirudi jumla tutafurahi sana.
Shem wako karudi...uje ule dinner kesho!
 
Last edited by a moderator:

Thanx shem wangu Judgement i cant express how happy i am to be back again.. And ofcourse happy to find Erickb52 safe n sound! Itabidi niulize vizuri lakini huko buza kunani?! Yaelekea ndio makazi mapya nini!
 
Last edited by a moderator:
Alafu nyie mnaonihusisha kwenye mauongo uongo yenu . . . .mjue nawachora tu!

BTW, welcome back Amyner my dearest.
Nimekumiss ile ile yaani!
Yaani Kipipi dear missed u too!! Itabidi tukutane for michapo.. kuna ka scandal juu yako ndo maana wanakutaja taja ovyo..
 
Last edited by a moderator:
Yaani Kipipi dear missed u too!! Itabidi tukutane for michapo.. kuna ka scandal juu yako ndo maana wanakutaja taja ovyo..
Hayo ni maneno bby muamini Kipipi
Muda wa michapo naomba niwepo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…