Amri ya sita (Usizini)

Amri ya sita (Usizini)

Hamjambo;

Kumekuwa na kasumba kubwa inayokuta rika zote kuendekeza ngono kwa kiasi kikubwa huku wakiona ni ujanja.

Amri ya sita iheshimiwe hatakama umekosa elimu juu ya madhara mbalimbali kuhusu ngono basi tumia akili.

Kama huna adabu basi jifunze kuwa na aibu maana ni kituko kikubwa sana kuwa mjinga halafu unajiamini.
Nafahamu kuwa kuna viungo ambavyo huwa havisikii, ila usikubali hisia zikuendeshe.

Usikubali kuzini na mwanamke/ mwanaume kabla ya ndoa ina madhara mengi sana tusiwe kama watoto wa nursery buana.

Kingine jitahidi ukwepa dhambi, wala sio ibada .

Usizini .
Wapi ulisoma ukakuta amri ya sita inasema usizini?
 
Ngono ni hitaji la fikra na sio hitaji la mwili,mwili umeumbwa kwa namna yake ya kujibalance hata usipofanya ngono
Mwili wenyewe utajiswitch utajikuta umeshachafua shuka, kupiga ni Sawa na kushusha mzigo zikijaa sana mwili wenyewe unazipunguza ukiwa usingizini bao hilo linamwagika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom