kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,625
- 12,170
Eleza kwanza kwa kinaganaga kuwa nini maana ya kuzini. Napenda wazungu wanavyotumia neno sex na linaeleweka. Haya wewe mswahili nieleze kuzini ni nini?
Kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya kuoa /kuolewa .Eleza kwanza kwa kinaganaga kuwa nini maana ya kuzini. Napenda wazungu wanavyotumia neno sex na linaeleweka. Haya wewe mswahili nieleze kuzini ni nini?