Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

Mkuu KANYIMBI , asante sana, ubarikiwe!.
Merry Christmas and Prosperous New Year
P
 
Pascal Mayalla kwa nini kupotosha maandiko…wapi imesema tuwapende watawala wewe wasema viongozi… wapende wewe usitulazimishe
Wao wanawapenda wananchi acha kutufanya hatunazo….
Mkuu Pakawa , sio kila kitu kimeandikwa kwenye maandiko, vitu vingine ni unafanya derivatives, maandiko yakisema mpende jirani yako, viongozi wetu wameingia kwenye tafsiri ya jirani yako ni nani!. Viongozi wetu ni jirani zetu!. Wapendeni!.
P
 
Wapende wananchi wako unaowangoza..!! Hapa ndo pana mtihani..!!
 
Mkuu Pakawa , sio kila kitu kimeandikwa kwenye maandiko, vitu vingine ni unafanya derivatives, maandiko yakisema mpende jirani yako, viongozi wetu wameingia kwenye tafsiri ya jirani yako ni nani!. Viongozi wetu ni jirani zetu!. Wapendeni!.
P
Mtihani upo kwenye wao kutupenda..!! Wengine wanadhani ili ampende mtu, ni mpaka awe naye kwenye kushabikia timu moja, kwenye kuwa mwanchama wa chama kimoja na yeye, mwenye imani ya dini moja kama yeye etc..!!
 
chrismass ni upagani, haiko kibiblia
lakini kwa kuwa mnatii miongozo ya viongozi wenu kuliko kutii neno la Mungu endeleeni nayo
No sikukuu ya upagani ilikuwa ni tarehe 24, hivyo Christmas ikafanywa tarehe 25 na kuifuta ile sikukuu ya kipagani!.
P
 
Wapende wananchi wako unaowangoza..!! Hapa ndo pana mtihani..!!
Mkuu Ngali, Ngalikihinja love radiates
Love, hivyo tukiwapenda viongozi wetu kwa upendo wa kweli na upendo wa dhati, love will conquer all!, hivyo viongozi wetu watatupenda na kulipenda taifa letu!.
Merry Christmas and Prosperous New Year.

By the way, ile program ya Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, nimeianza
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=wtqAIkvLatw2pRFw hivyo from time to time nitahitaji inputs from watu kama nyinyi.
P
 
Mtihani upo kwenye wao kutupenda..!! Wengine wanadhani ili ampende mtu, ni mpaka awe naye kwenye kushabikia timu moja, kwenye kuwa mwanchama wa chama kimoja na yeye, mwenye imani ya dini moja kama yeye etc..!!
Kwenye amri ya upendo, tunafundishwa hata adui mpende!.
P
 
Ok, love radiates, yes, but nani aanze kumpenda mwingine ili hiyo radiation itokee..!! Viongozi wetu, walio wengi wanategemea wananchi ndo tuanze..!!
 
Ok, love radiates, yes, but nani aanze kumpenda mwingine ili hiyo radiation itokee..!! Viongozi wetu, walio wengi wanategemea wananchi ndo tuanze..!!
True love it's a two way traffic, the initiator ni Viongozi, the drive force kutaka uongo iwe ni love ya kuwapenda watu na utumishi kwa umma, kisha na sisi wananchi tuna reciprocate that love kwa viongozi wetu, na mfano mzuri ni Rais Samia alichomfanyia Mbowe na Chadema, wengi hawaijui, sio tuu alimfutia kesi ya ugaidi, kuna mambo fulani aliwasaidia Chadema kupitia Mbowe, ila wenyewe hawakupenda kusema na mtoaji ametoa kwa upendo, hivyo automatically Mbowe atampenda Samia, na kama Chadema wote wangeambiwa huyu Mama kawafanyia nini, wangempenda zaidi, Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote

Tena wakakubaliana kugawana nusu mkate, ila Lissu alipotua akatibua!, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Kama maridhiano yako based on upendo wa dhati, Lissu apuuzwe, 2025, watu wagawane nusu mkate.
P
 
Kwa 100% ccm hawaipendi nchi ,
 
Kwa 100% ccm hawaipendi nchi ,
Mkuu 4 7mbatizaji , kuna namna nyingi za kupenda, hivyo it's not necessarily, CCM hawaipendi nchi!, usikute hayo yote CCM inayofanya ndio namna yake ya kupenda, kuna wazazi wanawapenda watoto wao na kuwadekeza, kuwapa peremende na kutowaadhibu wanapokosea, kuna wazazi wanawafundisha watoto wao kujitegemea na wakikosea wanakula bakora za kutosha. Watoto hawa wawili wakikutana mmoja anajiona anapendwa mwingine anajiona anachukiwa, kumbe wote wanapendwa ila kuna upendo faida na upendo hasara!.
CCM inatupenda na hata mimi nimesema humu, Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Usingeweka hilo la kuwapenda viongozi ningelisoma bandiko lako lote, ila hapo kwenye kuwaombea viongozi ni sawa na tope la Hanang siwezi kuvuka.
 
Mkuu kwanza heri ya sikukuu
Pili kama ccm wanaipenda nchi why hawataki katiba mpya na wanaita katiba ni kijitabu, nchi haiwezi simama bila katiba bora.
Why mafisadi hayafungwi?
So nikisema ccm hawaipendi nchi nakosea? Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…