OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,905
Ndiyo Hasira iliyopitiliza ifanyavyo kazi - alipiga 1 hasira ikazidi kupanda,akapiga ya 2 ,akajawa na munkari akapiga ya 3,4,5 akakumbuka gharama aliyopoteza kwa miaka yote akamshindilia ya 6,7, na ya 8 ndipo akabaini kumbe hela yake haitorudi tena ndipo akasema Kudadek yote haya yamesababishwa na huyu? akapiga ya 9 na ya 10. Dah! salio likawa limeisha. 😳 😳Ila mwamba Kwa zile risasi za kichwaaa
Hahahah .. Amefyatuaa kama vile hana akili vizur
Wanawake chukueni tahadhari pls.

