Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,361
- 91,912
WoowSms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123
WoowSms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123
Inauma nn tena
Ukimsomesha makosa ni yako sio ya kwake. Mke mwenyewe hasomeshwi sembuse mpenzi tu?Kuna vitu wanawake huwa wanajitafutiaga tu kama upendi kusomeshwa bs sema mapema acha kutumia ghrama za msela ujui
Anapataje pesa zake kukusomesha wewe
Nia yake ni baadae awe mke msomi
Lkn kumbe kuna boya huko anakula mzigo kizembe nadhani amelipwa kwa zinaa alizofanya huyo demu mwache afe tu mm
Siwez kuhuzunika.
Mchumba hasomeshwi.Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat
Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.
Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua.![]()
Mama yako ana mme, we naye tafuta wako banaNiliapa sitawai kuwa serious na mapenzi
Mapenzi ni upuuzi fulani hivi me nikikojoa imeisha hiyo
We Kama unacheat nenda tu kacheat Sina muda ki ujumla!!!
Nitakuwa na mapenzi na mama yangu na pesa tu hapa duniani!!
Nakubariana na wewe 100℅ kuna mambo yatazamwe upya haya mambo yq haki za binadam yazingatie uharisia wa jamboShida pengine kwenye ahadi AHADI au MAAGANo yao ndo shida Kuna umuhimu Sheria za ndoa ziangaliwe upya itasaidia pengine
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
alizidiwa sasa akajikuta kaahidiPoleni Sana, Lakini Mchumba Hasomeshwi Jamani
Ukimsomesha makosa ni yako sio ya kwake. Mke mwenyewe hasomeshwi sembuse mpenzi tu?
Ni kwamba huwa hamsikii kila siku wanasema mchumba hasomeshwi? Au inakuaje
Watu wapo tofauti. Mwingine ana honga akitegemea arudishiwe fadhila.Inaelekea huyo njemba alikuwa anampa support demu akiwa chuo na mbususu alikuwa anakula. Na huenda wazazi wake huyo demu ndo walimpeleka chuo na ada wanamlipia wao. Huyo jamaa kakosa tu busara katika maamuzi yake, kashindwa kukubaliana tu na uhalisia wa mambo na kucheki njia nyingine.......mbona kumhonga demu hata kama yupo chuo ni kawaida tu wala huwezi kuchukulia kama unamsomesha?