Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,726
Mwanamke wakumsaidia uliyefunga naye ndoa tu mjadala umefungwa,kila mtu aangalie hamsini zake![]()


kwahali ya sasa, sioni kama kuna umuhimu wa ndoa maana hamsaidiani mnazugiana kwakuwa wote mmevunja zile vows zenu maana watu wanacheat mpaka unasema, siitaji kifungu au sheria iniambie niishi na mtu maana ni uhuni uhuni tu.
