Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Unayosema ni sawa. Lakini kwa nini aendelee kula mali zake huku hana hisia nae. Si aende huko kwenye hisia zake zinamwelekeza!
Wapo wengine ving'ang'anizi hata ajibiwe vipi yupo kama Luka wa jua kali, wapo wengine anakataliwa mwanamke anaolewa lakini yeye anafuatiliaga tu
 
Mapenzi hayapo hivyo na unaelewa.

Unaweza ukampenda mtu vizuri ila baadae unaona huyu hakufai kutokana na sababu mbali mbali.

Sasa huwezi nilazimisha nisikuache kisa tu umenisomesha. Nakuacha naenda kwa ambaye ana muelekeo ninaoutaka.
Sasa ukiendekeza taamaa zako eti kisa Mapenzi Sasa utatangatanga kwa wangapi!? Sometimes mjifunze ku compromise Kama sisi Wanaume tunavyofanya! Alafu usichanganye mapenzi na matamanio,hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ukiendekeza taamaa zako eti kisa Mapenzi Sasa utatangatanga kwa wangapi!? Sometimes mjifunze ku compromise Kama sisi Wanaume tunavyofanya! Alafu usichanganye mapenzi na matamanio,hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Haya kaka, endeleeni kutusomesha.
 
Huyu Nigga alikua ana doji vikao vyetu vya nyuma toka said afanye yake hapa Mwanza...

Wakulungwa tuache utoro wa vikao vyetu wanaume ni muhimu kwa mustakhabari mzima wa maisha yetu...
 
Hoja gani zaidi ya hiyo niliyosema mkuu? Sina tatizo na wanaume wote, na ukichunguza sana utagundua kuwa nawapenda sana hawa viumbe wanaoitwa wanaume.
Kama unawapenda nafikiri ungejaribu kuwa "objective". Mimi sitetei kuuwawa huyo binti. Kitendo chochote cha kuondoa uhai wa binadamu lazima kipingwe kwa nguvu zote.

Hatya hivyo, hakuna mwenye nguvu za kujua fikra na mawazo binafsi ya watu na fikra au mawazo hayo yanawatuma nini. Kwa hiyo kuzuia vitendo kama kuua siyo rahisi. Lakini kwa upande mwingine wanawake wanatakiwa kutafakari. hakuna kitu kinaumiza kama kutumia pesa za mtu huku ukijuwa kuwa huyu mtu humpendi.

Huo ni wizi au utapeli. Mtu amejitolea kukusomesha kwa mategemeo kuwa hiyo elimu faida iakuwa kwa wote, kumbe wewe unajuwa fika kuwa anayekugharimia na kukufanya uwe binadamu mwenye heshima na elimu yako humpendi! Nasikitika kusema yeye mwenyewe alikikaribisha kifo lakini alikuwa akijipa moyo konde akisema "ATANIFANYA NINI".
 
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat

Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.

Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua.
Habari Yako haijakamilika... WAPI YAMETOKEA HAYO?
 
Back
Top Bottom