Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Hapana sijaelewa.
Unaweza kuwa na mpango naye, ila mipango hubadilika.
Sasa ndio unasema mapema, una-date na gangster alafu unamletea usaliti unajua pesa za kukusomesha alikozitoa? Km ulikua humtaki kwanin haukusema kabla? Mkipigwa chuma mnahisi mmeonewa ila ujinga mnafanya wenyewe

Emu acha kutetea ujinga basi, alieuawa alikua mjinga akamfanyia Jamaa jambo ambalo sio akahisi atatoka mzima, maisha mtihani mgumu sana
 
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat

Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.

Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua.
Tukio limetokea wapi? Mbona Jumanne Muliro sijamsikia?
 
What a waste to his family na jamaa zake.

Kakosea sana ,hakuwaza watu wake wa karibu.

Hasara tupu
 
Niliapa sitawai kuwa serious na mapenzi

Mapenzi ni upuuzi fulani hivi me nikikojoa imeisha hiyo

We Kama unacheat nenda tu kacheat Sina muda ki ujumla!!!

Nitakuwa na mapenzi na mama yangu na pesa tu hapa duniani!!

Hili kama Mwanaume anaweza kulifanya just go for it....it is nice/good movement
 
Sasa ndio unasema mapema, una-date na gangster alafu unamletea usaliti unajua pesa za kukusomesha alikozitoa? Km ulikua humtaki kwanin haukusema kabla? Mkipigwa chuma mnahisi mmeonewa ila ujinga mnafanya wenyewe

Emu acha kutetea ujinga basi, alieuawa alikua mjinga akamfanyia Jamaa jambo ambalo sio akahisi atatoka mzima, maisha mtihani mgumu sana
Sasa unasemaje mapema wakati mipango inakuwa haijabadilika? Baada ya mipango kubadilika ndio tunasema .
 
Sasa unasemaje mapema wakati mipango inakuwa haijabadilika? Baada ya mipango kubadilika ndio tunasema .
Alafu pesa ulizozitafuna unazirejeshaje sasa kwa mfano? Maana mla uliwa ukipenda kula jua ipo siku na wewe utaliwa, pesa ulizolipiwa matumizi na ada unazirudisha au ndio kujifanya ujuaji!? Hapo ndio unapojikuta umepigwa na vitu vizito kichwani maana taamaa zimekuponza, umependa pochi utimize matakwa yako ikiwa jamaa haumtaki

Sio fair, na usijaribu kufanya hivyo tutakupoteza
 
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat

Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.

Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua.
Risasi moja haikutosha?
 
Hii habari mbona haina source!!!?? Hii ni chai Maana kila tukiitafuta hatuioni
 
Ila mwamba Kwa zile risasi za kichwaaa
Hahahah .. Amefyatuaa kama vile hana akili vizur
 
.
Kila siku tunasema mchumba hasomeshwi. Oa weka ndani, tia mimba then peleka shule.
.
Msomeshe mwanamke kama msaada lakini sio kuwa na matarajio ya kuja kumuwowa badae.
"...Kila siku tunasema mchumba hasomeshwi. Oa weka ndani, tia mimba then peleka shule...."
Yap! Hii nimeipenda sana. Halafu nashauri hivi: enyi wadada/wasichana/wanawake acheni kabisa kutumia" K" zenu kama sehemu ya kitega uchumi chenu. ACHENI la sivyo wanaume watawamaliza e.g. leo tunasikia amekatwa mkono, amegeuzwa shingo, kapigwa risasi n.k. jitulizeni -fanyeni mambo mengine. Hiyo "kitu" kimsingi sio mali yako- ni mali ya mwanaume. Wewe umedhaminiwa tu uitunze. Iko siku mwenye nayo atakufikia. Sasa Ole wako akute umelikoroga. Ni za kichwa tu.
 
Back
Top Bottom