Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Mchumba hasomeshwi.. Kama kwao hakusomeshwa do it at your own risk... Kwakuwa haina guarantee kwamba atakupenda kisa ulimsomesha maana hisia za mapenzi na shukrani ya elimu ni vitu viwili tofauti kabisa
Mkuu Mshana tujifunze kama jamii kuwasaidia wahitaji bila kutarajia chochote kama shukrani kutoka kwao , hata kama watakuja fanikiwa sana kimaisha alama ulioweka kwao kamwe haitafutika ,neno ASANTE linatosha sana hata asiposema tulia mshukuru Mungu umefanyika daraja kwa wengine inatosha sana.
 
Hivi kweli unamsomesha mwanamke???tulishaambiwa ni viumbe dhaifu yani mwanamke
anaweza akasahau fadhila zote ulizomfanyia kisa kumnyima ela ya taulo za kike 🤭🤭🤭 hii inaitwa
images (1).png
images (1).png
 
Yani nidhamirie kukuua alafu nikupige risasi moja, inakuingia akilini kweli!!? Mm ningeenda na sub_machine gun au uzi yaani wakija kukubeba mzoga wafanye kukuzoa na chepe
Duh! Wewe ni zaidi ya huyo aliyepiga 10. Ila najua kuipata smg ni vingumu. 🏃‍♂️
 
Ukimsomesha makosa ni yako sio ya kwake. Mke mwenyewe hasomeshwi sembuse mpenzi tu?
Ni kwamba huwa hamsikii kila siku wanasema mchumba hasomeshwi? Au inakuaje
Ni upendo dada yangu, ukiambiwa mwanaume ameumbiwa kumpenda mwanamke kamwe hutakuja kujua labda matokeo tu. Lakini ndiyo hivyo tumeambiwa kama mwanaume lazima ujifunze kubalansisha hisia na logic na hisia hupotea dakika yeyote. Wanawake wamefika hapa kwasababu mwanaume alipenda ila wanaume wakiamua kuwaua wanawake wote duniani hawashindwi. More benefits za kijamii ni kwa upande wa mwanamke yote ni kwasababu ya upendo. Ila upendo ukiuchezea unageuka chuki na hasira mbaya mno sana tena sana.
 
Mnajiendekeza tu. Tumieni akili zaidi kuliko hisia.
 
Watu wapo tofauti. Mwingine ana honga akitegemea arudishiwe fadhila.
Ikitokea kinyume na matarajio yake ndo hivyo anapanic
Tofautisha kuhonga na kusomesha mtu. Elimu sio materialistic thing, alikuwa anajaribu kumjenga mke ili nayeye ajisikie anafuraha nayupo kwenye same level. Hujui jinsi gani mwanamke anavyokosa amani akikutana na marafiki zako ambao ni more educated than her. Pia elimu ni kwaajili ya maendeleo, vinahongwa vitu na pesa ila si elimu. Sema huruma zake zimemponza ila sikuhonga, kunamabinti utawaonea huruma acha na mtu hufanya kila jitihada kumtoa huko. Ila ukichukulia kama hongo, kamwe hutajua uchungu wa jamaa.
 
Mnajiendekeza tu. Tumieni akili zaidi kuliko hisia.
😂😂😂 mwanamke ukienda naye na akili kila siku anaanza kukuona gaidi, mimi ni mfano. Ila dah! 😂😂😂 kwanguvu zote ukasema mnajiendekeza, kweli mtumiaji pesa hajui shida ya aliyezitafuta. Hapo alikuwa kaokoa familia nzima ya mwanamke, maana binti ataiinua familia yake hivyo kuiinua jamii. Hakika, tenda wema nenda zako naishi na mwanamke kwa akili, kamwe usimuonee huruma.
 
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat

Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.

Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua.
Zimeshuka mpka 10 sasahv
 
Sio kukulaghai. Acha kumsomesha mchumba au kumfungulia biashara za mamilioni. Msapoti kwa kiasi cha kawaida
Ukitumia gharama kubwa uwe tayari kuwa mpole siku akikuacha.

Kama una uwezo wa kumgharamia kwa kiasi hicho kwa nini usioe kabisa ukamgharamie akiwa kwako?

Acheni kutumia pesa nyingi ili mpendwe.
Kwenye hiyo scenario usifikili mwanaume alitaka apendwe sana, no bali yeye ndio alipenda sana.
 
😂😂😂 mwanamke ukienda naye na akili kila siku anaanza kukuona gaidi, mimi ni mfano. Ila dah! 😂😂😂 kwanguvu zote ukasema mnajiendekeza, kweli mtumiaji pesa hajui shida ya aliyezitafuta. Hapo alikuwa kaokoa familia nzima ya mwanamke, maana binti ataiinua familia yake hivyo kuiinua jamii. Hakika, tenda wema nenda zako naishi na mwanamke kwa akili, kamwe usimuonee huruma.
Mnachofanya ni kitu kizuri sikupingi. Kumsaidia mtu ni jambo jema...
Ila unatakiwa uwe na akili kwamba ninavyomsaidia hivi sio guarantee aje kuwa mke wangu baadae au asikusaliti.

Pesa yako haitamfanya akupende zaidi..kama hakupendi ataendelea kutokukupenda haijalishi mapesa utakayomwaga. Na siku akimpata anayempenda atakuacha mchana kweupe.
So do it at your own risk.
 
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat

Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.

Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua.
Taaarifa ipo hovyo sana haifanunui kwa kina
Jina, wala mahal tukio lilipo tendeka
 
Mnachofanya ni kitu kizuri sikupingi. Kumsaidia mtu ni jambo jema...
Ila unatakiwa uwe na akili kwamba ninavyomsaidia hivi sio guarantee aje kuwa mke wangu baadae au asikusaliti.

Pesa yako haitamfanya akupende zaidi..kama hakupendi ataendelea kutokukupenda haijalishi mapesa utakayomwaga. Na siku akimpata anayempenda atakuacha mchana kweupe.
So do it at your own risk.
Mwanamke wakumsaidia uliyefunga naye ndoa tu mjadala umefungwa,kila mtu aangalie hamsini zake💪💪
 
Sasa hiyo akili wenzako hawana sijui tatizo ni nini?
Hata huyo mke anaweza akakusaliti tu hata umpe nini. Ni jinsi tu mtu alivyo.
Ni kweli usemayo ila mwanamke uliyemuoa kumsaidia ni sawa,maana ni wako isapitishwa na viongozi wa dini,wanawake wa siku hizi wanatumia mnzuri wao kutafuta pesa,anaweza akaupa maneno manzuri sana unajikuta unampa pesa kibao,mwisho wa siku anakubwaga,nimejifunza sana nikitaka kumsaidia mwanamke nampa tu kama msaada
 
Back
Top Bottom