ikhlas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 1,097
- 1,432
Nahisi wew ni mtoto wa kidigoAisee
Nahisi wew ni mtoto wa kidigoAisee
Yaani To yeye kipenzi nikusomesheInauma nn tena
Yeah,sureYaani To yeye kipenzi nikusomeshe
Nikuokote mavumbini alafu uje kuniacha nisikie uroda anapewa mwanaume mwingine.
Hapana lazima nikulime za kichwa , kuyaepuka haya ndiyo maana nawaheshimu sana dada poa mikoa yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini pesa hutafutwaYaani To yeye kipenzi nikusomeshe
Nikuokote mavumbini alafu uje kuniacha nisikie uroda anapewa mwanaume mwingine.
Hapana lazima nikulime za kichwa , kuyaepuka haya ndiyo maana nawaheshimu sana dada poa mikoa yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
no commentSms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123
Sasa kama wwe ni Mzee unataka umwagiwe pesa za nini!? Si bora umwagiwe Ugoro ujidai zako!!?Mzee mimi unipeleke wapi, we kama unanimwagia mapesa nimwagie tu
Alikua backbencher huyoHuu mjadala wa wanaume kusomesha wachumba kwenye kikao cha wanaume tulishafikia hitimisho na notes tulipewa. Haya ndio madhara ya kutokuhudhuria vikao.
Sikatai kutafuta pesa upya ila shida ni vipi aendelee kufurahi na mimi nijue ikiwa yeye kaniachia donda moyoniLakini pesa hutafutwa
Basi mtaua sana....wanaume mmebaki wachache sanaSikatai kutafuta pesa upya ila shida ni vipi aendelee kufurahi na mimi nijue ikiwa yeye kaniachia donda moyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa mwongozo wa kuwafumua risasi vivuruge.Depal cha utundu pitia hapa...
Hata cherehani ghali.Mchumba asomeshwi jamani,mwisho kusomeshwa ni cherehani fulstop
Ukinitosa na mie nakutosa kaburiniKwa style hiyo utateseka sana na mapenzi. Usitoswe wewe ni nani?![]()

Kwamba hujawahi kutoswa. Uliye nae ndo huyo wa kwanza hujawahi kubadilisha?Ukinitosa na mie nakutosa kaburini![]()