Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Huu mjadala wa wanaume kusomesha wachumba kwenye kikao cha wanaume tulishafikia hitimisho na notes tulipewa. Haya ndio madhara ya kutokuhudhuria vikao.

Jamaa anaoneka halikuwa safari ndo maana hakuhuzuria kikao
 
Niliapa sitawai kuwa serious na mapenzi

Mapenzi ni upuuzi fulani hivi me nikikojoa imeisha hiyo

We Kama unacheat nenda tu kacheat Sina muda ki ujumla!!!

Nitakuwa na mapenzi na mama yangu na pesa tu hapa duniani!!

Kabisa mkuu
 
We mzee wa chadema na wewe bado unahangaika na mapenzi?

Na uzee wote huo ndugu yangu?
 
Watu wanaaongea sana kiingeleza ilhali ni waswahili wakukaa nao makini sana
Mtu mpk anaanza kuongea kimalkia ujue hasira zimeshafika penyewe
Ila mimi nikishaamua kutoa kitu ni kama zawadi akigeuka baadae kama kunikomoa anakua amejila mwenyewe
 
Sasa haya mambo ya kuuana ya nini jamani? Kwani kumsomesha mtu ndio tiketi ya kuwa naye milele?

Wanaume hebu acheni ukatili jamani!!
 
Basi uniweke wazi kuwa hunitaki, sio unilaghai.

Sio vizuri.
Sio kukulaghai. Acha kumsomesha mchumba au kumfungulia biashara za mamilioni. Msapoti kwa kiasi cha kawaida
Ukitumia gharama kubwa uwe tayari kuwa mpole siku akikuacha.

Kama una uwezo wa kumgharamia kwa kiasi hicho kwa nini usioe kabisa ukamgharamie akiwa kwako?

Acheni kutumia pesa nyingi ili mpendwe.
 
Sasa haya mambo ya kuuana ya nini jamani? Kwani kumsomesha mtu ndio tiketi ya kuwa naye milele?

Wanaume hebu acheni ukatili jamani!!
Yaan umesema kwamba? Pesa uchukue ule maisha Chuo umdanganye mhuni kua unampenda kumbe unamuenjoy what do you expect? Utakula chuma za kichwa watu waje kuokoteza ubongo, km huna mpango sema mapema kwamba huna mpango, pesa na maisha mazuri vinawaponza chanzo ni umasikini, boom you die!
 
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat

Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.

Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua.
emoji15.png
That's my boy
 
Huu mjadala wa wanaume kusomesha wachumba kwenye kikao cha wanaume tulishafikia hitimisho na notes tulipewa. Haya ndio madhara ya kutokuhudhuria vikao.
Mwamba ali-overstand kile kikao ndiyo akaja na theory yake hii ya kumaliza mjadala kwa njia ya pachacha,
elimu haina mwisho tuendelee kujifunza na kwenye kikao kijacho tuongeze msisitizo kuwa wenye pachacha wawe wanakabidhi pachacha sehemu salama punde maji yanapoonyesha dalili ya kukorogeka.
 
Yaan umesema kwamba? Pesa uchukue ule maisha Chuo umdanganye mhuni kua unampenda kumbe unamuenjoy what do you expect? Utakula chuma za kichwa watu waje kuokoteza ubongo, km huna mpango sema mapema kwamba huna mpango, pesa na maisha mazuri vinawaponza chanzo ni umasikini, boom you die!
Sasa ukimuua ndio zinarudi?
 
Back
Top Bottom