chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasaHaha, Chadema mna kazi.
Swali kutoka kwa wapiga kura wajao:
Uchaguzi wa 2025 mtapigia kampeni ndani ya balozi za kigeni au mkiwa uhamishoni?
Mimi ni Mtanzania na kwanini unifikie kuwa mimi ni mwanachama wa Chadema kwanini isiwe ACT-Wazalendo.
Hii inaonyesha ni kweli kuwa Waafrika chini ya Jangwa la Sahara uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,We are sub human.
Mkuu Nchi inapotea, Watanzania tuna taharuki kubwa kwenye nyoyo zetu.
Wewe unashangilia ujinga,unashangilia dhulma,unashangilia ubaguzi, unashangilia ubakwaji wa haki za bibadamu.
Tafauti za mawazo ya mtanzania mwenzako kuwa na mawazo tafauti ya kisiasa yemekufikisha hapo!!yamekufanya uwe mjinga.