Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,898
- 3,006
Mnaropoka sana kama mnajua uhalisia..
Ovyo zenu kabisa
Ovyo zenu kabisa
Mbona hukuwaunga mkono walipotangaza maandamano?Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema? Kwamba sasa Tanzania litakuwa shamba la ngedere, kwa sababu nyuma ya Tundu Lissu na Lema na wenzao kuna Watanzania ambao wana matumaini nao sana. Na hii maana yake ni kwamba Upinzani kule Tanzania bara ndio umeshakata roho watu waanze alifu au waanze mwanzo.
Mbona Maalim Seif miaka yote hiyo hajawahi kukimbia na vitisho babkubwa alivyokuwa anapata hadi sasa na juzi alijitoa barabarani na akina Jussa na wenzake na bado yupo Unguja. Boby Wine Uganda sidhani kama kuna mfano wa hilaki anayoipata Uganda na kiongozi yeyote wa upinzani huko Tanzania mbona hajaondoka akawaacha walioeka matumaini kwake, Julius Malema South Africa na mifano mingi ipo.
Kama wao wamekuwa soft hivi kweli hawa wataweza kuongoza maandamano ata kilomita 1?
Mi nadhani Zanzibar inaweza kuchukua karne1 kujikomboa lakini Tanzania bara itachukua karne 1000 zaidi.
Tundu Lissu namlaumu sana alikuwa na impact kubwa sana kwenye kampeni watanzania walimpokea na kumkubali mpaka kuweza kupindua hoja za chama tawala kuhusu maendeleo yaliyoletwa lakini amekuwa easly na cheep baada hichi kilichotokea mwisho ameenda ubalozini sijui atarudi belgium muda usiojulikana.
'Mbona Maalim Seif miaka yote hiyo hajawahi kukimbia na vitisho babkubwa alivyokuwa anapata hadi sasa na juzi alijitoa barabarani na akina Jussa na wenzake na bado yupo Unguja.'Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema? Kwamba sasa Tanzania litakuwa shamba la ngedere, kwa sababu nyuma ya Tundu Lissu na Lema na wenzao kuna Watanzania ambao wana matumaini nao sana. Na hii maana yake ni kwamba Upinzani kule Tanzania bara ndio umeshakata roho watu waanze alifu au waanze mwanzo.
Mbona Maalim Seif miaka yote hiyo hajawahi kukimbia na vitisho babkubwa alivyokuwa anapata hadi sasa na juzi alijitoa barabarani na akina Jussa na wenzake na bado yupo Unguja. Boby Wine Uganda sidhani kama kuna mfano wa hilaki anayoipata Uganda na kiongozi yeyote wa upinzani huko Tanzania mbona hajaondoka akawaacha walioeka matumaini kwake, Julius Malema South Africa na mifano mingi ipo.
Kama wao wamekuwa soft hivi kweli hawa wataweza kuongoza maandamano ata kilomita 1?
Mi nadhani Zanzibar inaweza kuchukua karne1 kujikomboa lakini Tanzania bara itachukua karne 1000 zaidi.
Tundu Lissu namlaumu sana alikuwa na impact kubwa sana kwenye kampeni watanzania walimpokea na kumkubali mpaka kuweza kupindua hoja za chama tawala kuhusu maendeleo yaliyoletwa lakini amekuwa easly na cheep baada hichi kilichotokea mwisho ameenda ubalozini sijui atarudi belgium muda usiojulikana.
Ndio mana nimesema wapo legelege sana kiongozi anayeikimbia nchi kwa hofu ya kuogopa kuuliwa atawezaje kukaa mbele akaongoza maandamano.Mbona hukuwaunga mkono walipotangaza maandamano ?
Acha unafiki
Shwain!!! Maalim Seif hajawahi kukimbia mahali popote tokea umeanza mfumo wa vyama vingi Tanzania 1992. Baadhi ya wananchi wa Pemba ndio walikimbia pale shimoni Mombasa. Na hivi naandika leo ameenda Pemba. Maalim Seif mara ngapi walijaribu kumuua na kumpa masumu bado yupo ndani ya visiwa vya karafuu Zanzibar.'Mbona Maalim Seif miaka yote hiyo hajawahi kukimbia na vitisho babkubwa alivyokuwa anapata hadi sasa na juzi alijitoa barabarani na akina Jussa na wenzake na bado yupo Unguja.'
Inaonekana wewe umri wako bado ni mdogo sana au ulikua bado haujazaliwa,haujui hata kwny zile vurugu za Zenji enzi za Mkapa huyo Maalim alikimbilia Mombasa?
Wewe siku hizi nakuheshimu kwa sababu unajitambua, watu wako kwenye mateso kwa maana halisi ya neno hilo.Lema yupo kwenye mateso yapi? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge?
Acheni utoto jamani.
Kwa kina Mo na wote wenye hela maana nchi itakuwa taabani kipindi hicho.Wakishawamaliza wapinzani sijui watahamia kwa nani?
Sasa kwa nini hawakumsikilizaJiwe ndio anapenda Wapinzani wawe wakimbizi wa kisiasa.
Hakika Mzee Kinana na Nape hawakukosea kumuita jiwe mshamba.
Mzee Kingunge Hakukosea kusema jiwe hafai kuwa hata Nyapara wa Barabara.
Risasi 16 kwa mtu na bado wengine wanakimbia nchi wewe unasema ana huruma ???????????????Sivizuri kumuombea mtu kifo siajabu hujaomba chochote kwake akashindwa kukusaidia mnyonge mnyongeni haki yake mumpe jamani mzee huruma anayo sana mfano sisi wavuvi wakata yakalya tunaimani atatusaidia nakuturudishia mali zetu halali sio kusuguana na mkuu kumbuka anamadaraka makubwa akiamua utakuwa.
Muombeni tumuombe atasaidia mzee anahuruma sio kumuombea kifo haisadii mm ninachotaka sio kumzihaki mh rais wapuuze tu wewe nikiongozi unaongoza wehu . Wajinga . Wabishi. Wasomi .wasio soma.watu wote niwako hatamajumbani kwetu lawama zipo tuvumilie tu wewe nimkuu wanchi hakuna mwingine asiependa ahame chapakazi mkuu
Kama wao wako legelege wewe ukoje?Ndio mana nimesema wapo legelege sana kiongozi anayeikimbia nchi kwa hofu ya kuogopa kuuliwa atawezaje kukaa mbele akaongoza maandamano.
Ili mimi niunge mkono walipaswa wao kuwa mbele sisi tuwe nyuma yao. Kibaya zaidi hao wananchi sasa kiongozi wao anapohama nchi kwa hofu wao ndio watakuwa wahanga ambao hautakuwa na ukombozi tena. You failed Chadema.
Nakwambia hivi wewe bado ni mtoto mdogo sana,ninayoyasema hapa huwezi kuyaelewa.Shwain!!! maalim seif hajawahi kukimbia mahali popote tokea umeanza mfumo wa vyama vingi Tanzania 1992. Baadhi ya wananchi wa Pemba ndio walikimbia pale shimoni mombasa. Na hivi naandika leo ameenda Pemba. Maalim seif mara ngapi walijaribu kumuua na kumpa masumu bado yupo ndani ya visiwa vya karafuu zanzibar.
Chadmea imefeli sana, ccm imefanikiwa sana kwa upande wa Tanganyika na upinzani huko bara ndio kwisha tena.
Nafikiri CCM ndio wanaongoza kwa majambo, CCM walivyounajisi Uchaguzi Mkuu,they deserved an Oscar..CHADEMA kwa sinema mna jambo lenu, you guys deserve an oscar.
Mimi naunga mkono upinzani Tanzania lakini lazima nikiri Chadema bado sana kushika dola, viongozi wao ni waoga sana sana, kama Lissu akienda Ubeligiji hatarudi tena ambaye alikuwa mgombea urais, Lema ndo huyo hii picha gani kwa Chadema? Kwamba sasa Tanzania litakuwa shamba la ngedere, kwa sababu nyuma ya Tundu Lissu na Lema na wenzao kuna Watanzania ambao wana matumaini nao sana. Na hii maana yake ni kwamba Upinzani kule Tanzania bara ndio umeshakata roho watu waanze alifu au waanze mwanzo.
Mbona Maalim Seif miaka yote hiyo hajawahi kukimbia na vitisho babkubwa alivyokuwa anapata hadi sasa na juzi alijitoa barabarani na akina Jussa na wenzake na bado yupo Unguja. Boby Wine Uganda sidhani kama kuna mfano wa hilaki anayoipata Uganda na kiongozi yeyote wa upinzani huko Tanzania mbona hajaondoka akawaacha walioeka matumaini kwake, Julius Malema South Africa na mifano mingi ipo.
Kama wao wamekuwa soft hivi kweli hawa wataweza kuongoza maandamano ata kilomita 1?
Mi nadhani Zanzibar inaweza kuchukua karne1 kujikomboa lakini Tanzania bara itachukua karne 1000 zaidi.
Tundu Lissu namlaumu sana alikuwa na impact kubwa sana kwenye kampeni watanzania walimpokea na kumkubali mpaka kuweza kupindua hoja za chama tawala kuhusu maendeleo yaliyoletwa lakini amekuwa easly na cheep baada hichi kilichotokea mwisho ameenda ubalozini sijui atarudi belgium muda usiojulikana.
Jussa kurudi ni ngumu sana....akirudi watamnyang'anya PP kabisa.Jussa naye sijui kama anarudi. Tunaenda kuwa na kitu hatari sana
Tumia kichwa kufikiria, Usiku wa kuamkia tarehe 2 walimkamata na kumweka ndani alikua na kosa gani?Lema yupo kwenye mateso yapi? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge?
Acheni utoto jamani.
Haha, Chadema mna kazi.Nafikiri CCM ndio wanaongoza kwa majambo, CCM walivyounajisi Uchaguzi Mkuu,they deserved an Oscar..
Kwa hiyo inamaana CHADEMA wangeshinda wangeuza mfuko shs 5?
Kama hauna hali yeyote mbaya iliyo katika maisha yako basi ni vyema ukaacha kuwaambia watu wana utoto maana huenda hakuna tunalolijua kuhusu anayoyapitia baada ya huo uchafuzi uliopita wa kisiasa.Lema yupo kwenye mateso yapi? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge?
Acheni utoto jamani.