Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,671
- 90,572
Naisubiri kwa hamu😝Safi sana, kuna siku tutavunja kibubu 🤣🤣🤣
Naisubiri kwa hamu😝Safi sana, kuna siku tutavunja kibubu 🤣🤣🤣
mazinzi ya madhabahuni hayo yamechapwa kiboko na kuumbuliwa uovu wao waliouficha kwa muda mrefu,Kwa wafatiliaji wa kwaya ya Redemption Ministers Melody watakuwa wanamfahamu dada huyu.
Binti anaitwa Claire Mary amemwagiwa Tindikali na mtu anayedaiwa kutumwa na Ex boyfriendwake aitwaye Elvis !!
Taarifa zilizopo hadi sasa ni kwamba:
Claire ni msichana mwenye umri wa miaka 24, mrembo na mwenye mustakabali mzuri sana wa ndoto yake .
Baba yake Claire ni mchungaji wa kanisa la SDA.
Elvis ni mwanaume aliyeoa na ana watoto wawili.
Wote wawili walikuwa waimbaji hodari katika kwaya ya kanisa la SDA.
Inadaiwa Elvis alimsaidia Claire kugharamia masomo yake ya chuo.
Walikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka kadhaa, lakini Claire aliuvunja ghafla.
Elvis alijaribu kujiua bila mafanikio baada ya kugundua kuwa uhusiano umefikia mwisho.
Inadaiwa Elvis hakuweza kukubali kukataliwa, hivyo akaajiri mtu mwingine kutekeleza shambulio la kumwagia Claire tindikali kama kulipiza kisasi.
Claire kwa sasa anapigania maisha yake katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (Kenya National hospital)
Elvis amekamatwa na huenda akakaa gerezani kwa muda mrefu, mbali na mke wake na watoto wake wadogo.
Maisha ya wote wawili hayatakuwa tena kama yalivyokuwa awali.
Ni tukio la kusikitisha sana linaloonyesha madhara makubwa ya chuki, hasira na kushindwa kukabiliana na kukataliwa kwa njia ya afya.
Hahaha kua makini na maneno yako unanivua halafu unanigeuzia nikushughulikie si ndio?Wewe si ndio unavuliwa imekuwaje tena?
Ewaah!! Wanalewa coca eti hawapo serious hawa🤦🏽♀️Umesahau kutokunywa Pepsi na Coca
Unapenda kusikia nitakachosema sio kwa kunikomalia huku🫢Hahaha kua makini na maneno yako unanivua halafu unanigeuzia nikushughulikie si ndio?
Ngoja mtandao wa mapene ukae vizuri ,siunajua tena😆Naisubiri kwa hamu😝
Kakalie siti ya mbele hama hapa, turudi kwenye mada sasaUnapenda kusikia nitakachosema sio kwa kunikomalia huku🫢
Au sio..Ngoja mtandao wa mapene ukae vizuri ,siunajua tena😆
Sio nini sipendi hili nenoAu sio..
Lina shida gani? Mbna mi nalitumia kila siku😆Sio nini sipendi hili neno
Limekaa kinafki😜Lina shida gani? Mbna mi nalitumia kila siku😆
Lina shida gani? Mbna mi nalitumia kila siku😆
Mno yaniUnaupenda huu wimbo!
Nimeona mara kadhaa ukitag watu huu wimboMno yani
Yeah nafanya hivyo kwa watu special tu kwangu my darling 🥰Nimeona mara kadhaa ukitag watu huu wimbo
Bia vsPapuchi ni tamu ila haijafikia hatua ya kumwagiana tindikali na kuharibiana maisha🤔
Ni notion tu iliyoko kwa baadhi ya madhehebu, kama hivi wewe unasema wasabato wanawekana, sijui unasali wapi ambapo kiukweli kabisa kuna mabikra hawawekani kabisa😂Ya kulomba waumini wenzenu🥲