Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

Picha linaanza kila kitu ni dhambi! Kuvaa hereni, nguo fupi, kusuka, kupaka rangi kucha, kufanya kazi na kununua au kuuza kitu siku ya sabato, kula bata, mdudu na samaki wa magamba ni dhambi! Kila kitu ni dhambi.. imagine sasa mtu afanye hivi vyote kwa usahihi ila tamaa za mwili zinamshinda!
Hukwo sio kujiweka kitakatifu, ni kufuata nini maandiko yanasema, watu wanajitahidi, ila kuikimbia zinaa sio kazi rahisi. Tuzidi kuombeana mtu wa Mungu, tusihukumiane.
 
Picha linaanza kila kitu ni dhambi! Kuvaa hereni, nguo fupi, kusuka, kupaka rangi kucha, kufanya kazi na kununua au kuuza kitu siku ya sabato, kula bata, mdudu na samaki wa magamba ni dhambi! Kila kitu ni dhambi.. imagine sasa mtu afanye hivi vyote kwa usahihi ila tamaa za mwili zinamshinda!
Anafanya vyote ila kuvua chupi kwao sio dhambi hawajakatazwa km hivyo vingine, ongezea kuweka dawa kichwani ni dhambi, eeh bwana kunyoa kiduku ni dhambi, eeh kufuga rasta/dread rock pia ni dhambi, ila kuvuliana chupi sio dhambi hujaelewa nini? Njoo univulie sio dhambi
 
Picha linaanza kila kitu ni dhambi! Kuvaa hereni, nguo fupi, kusuka, kupaka rangi kucha, kufanya kazi na kununua au kuuza kitu siku ya sabato, kula bata, mdudu na samaki wa magamba ni dhambi! Kila kitu ni dhambi.. imagine sasa mtu afanye hivi vyote kwa usahihi ila tamaa za mwili zinamshinda!
Umesahau kutokunywa Pepsi na Coca
 
Back
Top Bottom