Amini usiamini Marando ndo anabomoa CHADEMA


Hata Dr Slaa alikuwa CCM damu damu , au mnasahau hilo
Naye awajibishwe!!!
 
Marando ni jambazi la CCM tangu enzi za TANU! Huyu siwezi kumuamini kamwe hata nikikutana naye Mbinguni
 

lakinI pia usisahau kina mama salma wanavyofungua ma- ngos makubwa au kina husein mwinyi, kawawa, rizwan, we usie na baba kiongozI ccm utabaki mtazamaji
 
uwepo wa huyu jamaa CDM huwa na wasiwasi sana lakini siwezi kutolea maamuzi sababu sina ushahidi wa kile kinachomhusu. Kama uonavyo wewe ni vyema ukaleta ushahidi hapa sio kuangalia umri wa mtu..

Hivi MM2 ni nani?
 
Baba wa taifa alilisemea hili kubaguana dhambi na ile dhambi itakutafuna tu sasa ya ZZK yamekwisha mnamuanza Marando eeh mwisho mtajifukuza wenyewe mnaojiita taasisi yenu. Mlipo jikwaa mnapajua mnalaumu ulipoangukia, kusoma hamjui hata picha inawashinda.
 
Baba wa taifa alilisemea hili kubaguana dhambi na ile dhambi itakutafuna tu sasa ya ZZK yamekwisha mnamuanza Marando eeh mwisho mtajifukuza wenyewe mnaojiita taasisi yenu. Mlipo jikwaa mnapajua mnalaumu ulipoangukia, kusoma hamjui hata picha inawashinda.
 
Hivi Mabere Marando ni muislamu? Kama ndivyo hata sishangai akiandamwa. Chama hiki labda uwe mkristo ndio afadhali yako.
 
Hivi Mabere Marando ni muislamu? Kama ndivyo hata sishangai akiandamwa. Chama hiki labda uwe mkristo ndio afadhali yako.

Ni Mkatoliki. Watu wa mkoa wa Mara wengi ni ama wasabato au wakatoliki
 
sisi tunaamini zzk ndo anabomoa chadema, tuna intelejensia ya hatari pale Ufipa ikisaidiwa na red brigade. Tungekwisha mnasa siku nyingi.
 

Prof Lipumba Mshauri wa Uchumi wa Mwinyi
Seif Maalimu Kipenzi cha Nyerere na Waziri Mkuu Kiongozi aliyeperekea kufukuzwa kwa Jumbe
Mzee Mtei Gavana wa Nyerere na Mshauri wa mambo ya fedha na uchumi katika Serikali ya Mwinyi
Mzee Bob Makani, RiP Gavana wa Nyerere na mshauri wa mambo ya fedha
Etc
Wapo zaidi na wenye vyeo vyeti zaidi utoto ndio unakusumbua ukikua utaacha.
 
mm ni mpenz wa cdm mkubwa kuliko wewe

Mpenzi wa CDM? Pole sana endeleza mapenzi kwa kwenda Mbele, akili ya mapenzi kitaalam inanyima mtu upeo wa kufikiri mambo ya maana na ya msingi.
 
Umepima VVU au Kansa ya Ubongo boss? Madakitari msaidieni huyu jamaa!
 

Kichuguu NCCR mageuzi ilizaliwa lini na wakati wa matukio gani? Itakusaidia kuelewa vyema, pia Opiyo (RIP) hajawai kuwa Mkuu wa Usalama hapa nchni alikuwa na cheo kama cha Katibu Mkuu Kiongozi, angalia list ya Wakuu wote wa hiyo idara Opiyo hayumo.

Hawa watoto hawajui wanachoongea na hawajui nini maana ya ukombozi. Kumbuka kuwa 2010 Jk alishindwa na Dr Slaa hadi katika kambi ya Jeshi la Lugalo na Mdee ni mbunge wa kawe, jambo ambao wakazi wake zaidi ni wanajeshi na UWT.

Hiyo CDM wanayoitaka hao watoto au huo Upinzani wanaoutaka ambao hauna wapenzi kutoka UWT, Jeshi na Polisi haiwezi kuchukua nchni na bila hao hakuna ukombozi, CCM sio UWT na sio Jeshi la Watanzania.

Hii ngoma ya kitoto tuwaachie waicheze kitoto toto na makamasi puani.
 
Mimi nakubaliana na wewe kabisa, kama tutakumbuka huyu jamaa alihakikisha anaiua NCCR kipindi kile ilipokuwa moto zaidi kwa CCM. HAPA WANA CDM UNAHITAJIKA UMAKINI MKUU KWA HUYU NDUGU. PIA KAMA MNAKUMBUKA VIZURI SIKUMBUKI KAMA KUNA KESI ALIYOWAHI KUIFUNGUA AKIWA KAMA MWANASHERIA IKAISHA ZAIDI YA KUIFANYA IWE NDEFU NA KUTUMIA HELA NYINGI ZA CHAMA. HII ILIKUWA TANGU KIPINDI KILE CHA NCCR MPAKA SASA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…