lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,484
Amin umenena asante sana
Habari wana JF....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya CHADEMA ni hatari sana hata akifukuzwa leo CHADEMA wamechelewa sana.
Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mumdhaniavyo.
Nasema huyu ndo mbaya wa CHADEMA...
Nawasilisha.
Ukifikilia sana, vuguvugu la vyama vingi lilikuwa na baraka za Nyerere toka mwanzo...NCCR - nadhani ilikuwa ni kifupisho na mikutano ya kudai mabadiliko ambayo ilianza miaka ya 1991, ni kweli mabadiliko yalitokea, hata kama akina marando walikuwa Usalama wa Taifa, kuwa usalama wa taifa sio kuwa ni mwana CCM, hiyo ndio dhana potofu, walioko ndani ya TISS anaweza akawa na mapenzi na chama chochote ila haruhusiwi kuwa mwanachama kama mtumishi wa umma....kama watu waliowahi fanya kazi TISS utawaogopa, basi hata hiyo kazi yake ya sheria sidhani kama angepata wateja, maana angeweza kuwa uipande wa serikali
mbowe na slaa pia wafukuzwe wanakiharibu chama
Naunga mkono hoja. Alishasema kwa kinywa chake mwenyewe kuwa yeye ni shushushu ie usalama wa taifa na ile kazi huwa haiachwi, ni ya maisha, hawafukuzwi.
maneno ya mfa maji ukabilandio chanzo cha kifo cha chademahujielewi,unakurupuka tu!!!!
Sijui km umesoma nilichoandika... asante
maneno ya mfa maji ukabilandio chanzo cha kifo cha chadema
1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman Mbowe (mchaga,kilimanjaro)
2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)
3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama - Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga, kilimanjaro)
4. Mkurugenzi wa Oganaizesheni chama- Ndugu Singo Benson Kigaila (mchag,kilimanjaro)
5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu John Mrema (mchaga, kilimanjaro)
6. Mkurugenzi wa Mawasiliano chama - John Mnyika (kilimanjaro mwenye maskani yake Dar) asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Mkya
8:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB wa kuteuliwa,
9😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb wa kuteuliwa
10:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa Kuteuliwa
11:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB kuteuliwa
12:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe Mwenyekiti wa Chama,
HIKI NDIO CHAMA SASA
Umri wake ndio unasababisha udhalimu, au?Habari wana JF....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya CHADEMA ni hatari sana hata akifukuzwa leo CHADEMA wamechelewa sana.
Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mumdhaniavyo.
Nasema huyu ndo mbaya wa CHADEMA...
Nawasilisha.