dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,504
- 15,621
amini usiamini leo timu mbovu inafungwa tena ikibidi ishuke daraja kabisa msimu huu,we kolo we wacha kukenua meno yasiyopigwa mswaki wiki 6 nazungumzia Namungo ndo timu mbovu lazma ifungwe tena leo pale pale uwanja wao wa nyumbani kama ilivyotokea msimu uliopita,8 march 2024 alibugizwa 1-3 na leo lazma afungwe tena Yanga haijawahi kuwa timu mbovu ...KILA LA HERI DAR YOUNG AFRIKA