Amini usiamini leo ni birthday ya Kalapina

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,357
Nimeshangaa sana,kumbe leo ni siku ya kuzaliwa Kalapina, nabii Koko, Kikosi cha mizinga, mwanaharakati, hiphop bila madawa, 'mbunge' wa Kinondoni, asiyehusika na shoo ashuke, block 41, mbabe n.k.

Una neno gani la kumwambia huyu mwanahiphop na mwanaharakati?

kalapina.jpg

kalapina+2.jpg
 
Mi namwambia tu akae akijua mimi km mshabiki wa hiphop sijawahi kusikia ngoma kali kutoka kwake kama "Mstari wa mbele"
Mpaka hivi leo nadhani Haitakuja kutokea tena Kalapina kutoa ngoma kama hiyo.
 
kikosi kama siyo vurugu zilizokuwa zikiratibiwa na huyu jamaa lingebaki kuwa kundi bora kabisa, huyu jamaa aliwavuruga wenzie mpaka kikosi cha mizinga kikapotelea kwenye mstari wa mapigano
 
Ila jamaa alikuwa mbabe sana ...nikikumbuka alivyompiga chidi benzi kipindi kile chidi naye alikuwa mtata now ni chidi baiskeli au chidi mark2.
 
Nimeona leo kule Shinyanga, anachomekea kuzungumza kwa kisukuma.

Je, haiwezi kuwa ni kuonesha kuwa "mimi ni wenu?" kuna ulazima gani wa kuzungumza kisukuma ktk mkutano unaotazamwa na watanzania wa makabila 120 nchi nzima?

Nawasilisha!
Hbd kalapina
Nimeshangaa sana,kumbe leo ni siku ya kuzaliwa Kalapina,nabii Koko ,Kikosi cha mizinga,mwanaharakati ,hiphop bila madawa, mbunge wa kinondoni, asiyehusika na shoo ashuke, block 41, mbabe nk
Una neno gani la kumwambia huyu mwanahiphop na mwanaharakati?
kalapina+2.jpg
kalapina.jpg
 
Back
Top Bottom