Amini usiamini leo ni birthday ya Kalapina

Mi namwambia tu akae akijua mimi km mshabiki wa hiphop sijawahi kusikia ngoma kali kutoka kwake kama "Mstari wa mbele"
Mpaka hivi leo nadhani Haitakuja kutokea tena Kalapina kutoa ngoma kama hiyo.

Na wewe ujue kutofautisha kati ya ngoma kali na biti kali
 
Huyu mjinga angetulia na CUF ungekuta kapata zali la kua mbunge wa kino...kujifanya kuhamia ACT kulimponza vibaya
 
Vanessa ndio umejua leo?Mbona huu mwaka wa pili?
Huyu sikujua kabisa ila madam niligongana nae ktk birthday ya malaika alikuwa na alosto yaan ya kutetemeka kabisa akaja bwana rasta akampa mambo yake!
 
Back
Top Bottom