Hapa Sinza kumekucha kuna jamaa anaitwa Rich Boy anauza chapati/maharage/maini na chai maziwa kama imeungwa Tanga. Pale kuacha shilingi 1.1bn kitu cha kawaida. Zile chapati ukila lazima ufike kileleni kinywani
njoo nikupeleke sehemu kuna chapati Kali kushinda hizo!Kuna wale wa malasyia wa ISTANA RESTAURANT pale mitaa ya victoria kona kama unaenda mwananyamala sijui bado wapo sijawai kula chapati tamu kama zile na haitatokea kokote kamwe. Chapati hainasi kwenye meno ukiigusa tu imekatika alafu kama inaunga flani ukiiweka mdomoni kama inayeyuka hivi laiiniiiii aisee wale wa malasyia balaaaaa
Kuna wale wa malasyia wa ISTANA RESTAURANT pale mitaa ya victoria kona kama unaenda mwananyamala sijui bado wapo sijawai kula chapati tamu kama zile na haitatokea kokote kamwe. Chapati hainasi kwenye meno ukiigusa tu imekatika alafu kama inaunga flani ukiiweka mdomoni kama inayeyuka hivi laiiniiiii aisee wale wa malasyia balaaaaa
ili tumalize 1.1 b huko? Sawa MkuuBasi sawa! Ili bilion iwafae na familia waleteni ma waifu zenu niwa Kochi mapishi ya chapati laini zenye kurasa Kama kaunta la kwaya 4 hutafuni ni kumung'unya tuuu! Dk 15 zatosha kwa mafunzo. mpooo!
PichaIla twende mbele na kurudi nyuma. Jamani kuna chapati tamu sana. Dodoma kuna kampuni ya catering inafanya huduma zake pale Treasury Square!
Kwa Chapati kama zile, binafsi naweza kutumia 1.1 billion kwa chapati!
Pale Arusha pale round about ya Azimio kuna mama anatengeneza chapati na Maharage. Zile chapati tamu Jamani! Nyie watu wa R Chugga. Yule mama pale round about bado yupo?
DSM kuna mpishi wa chapati yupo pale UDSM- COET Cafeteria. Sijui kama yule mtoa huduma bado yupo! Zile chapati zinauzwa 500 TShs. Zile unaweza kula chapati za 1.1 billion!
Morogoro kuna hotel ipo pale MSAMVU, mabasi kutoka Dodoma huwa yanaingia pale Mchana kulisha abiria wake... Na Wao wana chapati tamu sana!
Picha ya uzipicha ya chapati ama picha ya 1.1 billion? Ama picha uzi?
kuna siku nilikula chapati maharage plus maziwa kule k/koo baada ya kama nusu saa nilipoteza network katikati ya kundi la watu... chapat maharage ni comb. mbaya sanaHahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona
am better here
Nipe address mkuu mi mji wote naujua huunjoo nikupeleke sehemu kuna chapati Kali kushinda hizo!
Machicha pia yanatiwa humohumo kwenye ndondo? Aisee watu wabunifu,sasa sijui wanatia kwa pamoja au linaanza tui halafu machicha?Umenikumbusha harage la tanga linatiwa tui la nazi na machicha yake..mixer chapati ,hutoki kwa mamamkwe(muuzaji)
If it isn’t perfect ,it’s not good enough
Mi kwenye chapati sijui huwa nafeli wapi! Yaani hata nikiikanda kwa tui la nazi haitoki laini ikajikunja kamaa hii,huwa naghadhibika sana basi tu.
Machicha pia yanatiwa humohumo kwenye ndondo? Aisee watu wabunifu,sasa sijui wanatia kwa pamoja au linaanza tui halafu machicha?
Nalog off
CHAPATI kwa MAHARAGE, iwe MAHARAGE ya SUKARI au MAHARAGE ya CHUMVI kwa mbali.Hahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona
am better here