ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 768
- 1,266
Hapa Sinza kumekucha kuna jamaa anaitwa Rich Boy anauza chapati/maharage/maini na chai maziwa kama imeungwa Tanga. Pale kuacha shilingi 1.1bn kitu cha kawaida. Zile chapati ukila lazima ufike kileleni kinywani
Acha uongo Mzee mm nakula sana kwa huyo jamaa hapo siyo mkali kivile Ila sema anajitahidi kwa kiasi chake.