Amini usiamini, hizi hapa chapati za shilingi 1.1 b

Hapa Sinza kumekucha kuna jamaa anaitwa Rich Boy anauza chapati/maharage/maini na chai maziwa kama imeungwa Tanga. Pale kuacha shilingi 1.1bn kitu cha kawaida. Zile chapati ukila lazima ufike kileleni kinywani

Acha uongo Mzee mm nakula sana kwa huyo jamaa hapo siyo mkali kivile Ila sema anajitahidi kwa kiasi chake.
 
Kuna wale wa malasyia wa ISTANA RESTAURANT pale mitaa ya victoria kona kama unaenda mwananyamala sijui bado wapo sijawai kula chapati tamu kama zile na haitatokea kokote kamwe. Chapati hainasi kwenye meno ukiigusa tu imekatika alafu kama inaunga flani ukiiweka mdomoni kama inayeyuka hivi laiiniiiii aisee wale wa malasyia balaaaaa
 
njoo nikupeleke sehemu kuna chapati Kali kushinda hizo!
 
Istana sijui kama itakuwepo, ile area ni kama kulikuwa na ghorofa linajengwa pale...

Istana used to be my food corner, kulikuwa na cuisines za mataifa mbalimbali...i used to love misosi ya kihindi na kimalay/indonesia...
Kuna wale wa malasyia wa ISTANA RESTAURANT pale mitaa ya victoria kona kama unaenda mwananyamala sijui bado wapo sijawai kula chapati tamu kama zile na haitatokea kokote kamwe. Chapati hainasi kwenye meno ukiigusa tu imekatika alafu kama inaunga flani ukiiweka mdomoni kama inayeyuka hivi laiiniiiii aisee wale wa malasyia balaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi sawa! Ili bilion iwafae na familia waleteni ma waifu zenu niwa Kochi mapishi ya chapati laini zenye kurasa Kama kaunta la kwaya 4 hutafuni ni kumung'unya tuuu! Dk 15 zatosha kwa mafunzo. mpooo!
 
Basi sawa! Ili bilion iwafae na familia waleteni ma waifu zenu niwa Kochi mapishi ya chapati laini zenye kurasa Kama kaunta la kwaya 4 hutafuni ni kumung'unya tuuu! Dk 15 zatosha kwa mafunzo. mpooo!
ili tumalize 1.1 b huko? Sawa Mkuu
 
Ila twende mbele na kurudi nyuma. Jamani kuna chapati tamu sana. Dodoma kuna kampuni ya catering inafanya huduma zake pale Treasury Square!

Kwa Chapati kama zile, binafsi naweza kutumia 1.1 billion kwa chapati!

Pale Arusha pale round about ya Azimio kuna mama anatengeneza chapati na Maharage. Zile chapati tamu Jamani! Nyie watu wa R Chugga. Yule mama pale round about bado yupo?

DSM kuna mpishi wa chapati yupo pale UDSM- COET Cafeteria. Sijui kama yule mtoa huduma bado yupo! Zile chapati zinauzwa 500 TShs. Zile unaweza kula chapati za 1.1 billion!

Morogoro kuna hotel ipo pale MSAMVU, mabasi kutoka Dodoma huwa yanaingia pale Mchana kulisha abiria wake... Na Wao wana chapati tamu sana!
Picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbona

am better here
kuna siku nilikula chapati maharage plus maziwa kule k/koo baada ya kama nusu saa nilipoteza network katikati ya kundi la watu... chapat maharage ni comb. mbaya sana
 
Kuna siku nilisikia jamaa wanasifia Pilau la restaurant fulani hivi. Nikatafuta siku nikaenda aisee madudu niliyoyakuta hapo Mungu ndio anajua.
Hakuna cha pilau wala nini ni kwa sababu tu hiyo restaurant miaka kama 10 iliyopita ilikuwa na mpishi mzuri wa Pilau sasa hayupo na watu kwa sababu hawajui pilau zuri wanalazimisha kwa sababu imeishavuma hapa dsm kwamba sehemu hiyo kuna pilau zuri
 
Umenikumbusha harage la tanga linatiwa tui la nazi na machicha yake..mixer chapati ,hutoki kwa mamamkwe(muuzaji)

If it isn’t perfect ,it’s not good enough
Machicha pia yanatiwa humohumo kwenye ndondo? Aisee watu wabunifu,sasa sijui wanatia kwa pamoja au linaanza tui halafu machicha?
Nalog off
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom