Hahahaha ivi watu mnapendaje chapati na marage me azishuki mbonaHapa Sinza kumekucha kuna jamaa anaitwa Rich Boy anauza chapati/maharage/maini na chai maziwa kama imeungwa Tanga. Pale kuacha shilingi 1.1bn kitu cha kawaida. Zile chapati ukila lazima ufike kileleni kinywani
Mkuu nikija DSM Ntajitahidi kufika Sinza nipate kujilia!Hapa Sinza kumekucha kuna jamaa anaitwa Rich Boy anauza chapati/maharage/maini na chai maziwa kama imeungwa Tanga. Pale kuacha shilingi 1.1bn kitu cha kawaida. Zile chapati ukila lazima ufike kileleni kinywani
Tanga lazima ziwepo!Tanga Kuna chapati Barbara ya 19 zinapikwa pale na maharage ya kukata then Kuna Oda dsm kila siku asubuhi zinabebwa mpaka dsm..ukifika pale unakuta gari zimepangana watu wanazigombea..
Kuna wamama Kama ishirini kila mtu na kikaango chake.. aisee ni hatari..
Karibu sana, Ukifika Sinza Kumekucha utapaona kwa nyomi lile, hapajifichiMkuu nikija DSM Ntajitahidi kufika Sinza nipate kujilia!
Au chumbageni kwa Mwanjame, anapika chapata ina pages nyingi kama counter book afu lainiiii ka na naniii!Tanga Kuna chapati Barbara ya 19 zinapikwa pale na maharage ya kukata then Kuna Oda dsm kila siku asubuhi zinabebwa mpaka dsm..ukifika pale unakuta gari zimepangana watu wanazigombea..
Kuna wamama Kama ishirini kila mtu na kikaango chake.. aisee ni hatari..
Una bilioni?Mkuu nikija DSM Ntajitahidi kufika Sinza nipate kujilia!
Au chumbageni kwa Mwanjame, anapika chapata ina pages nyingi kama counter book afu lainiiii ka na naniii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi sasa ndiyo vitu vya hamu,Haina aja ya kuishika utaitambua kwa Macho tu.
Aiseeee! UmetishaIla twende mbele na kurudi nyuma. Jamani kuna chapati tamu sana. Dodoma kuna kampuni ya catering inafanya huduma zake pale Treasury Square!
Kwa Chapati kama zile, binafsi naweza kutumia 1.1 billion kwa chapati!
Pale Arusha pale round about ya Azimio kuna mama anatengeneza chapati na Maharage. Zile chapati tamu Jamani! Nyie watu wa R Chugga. Yule mama pale round about bado yupo?
DSM kuna mpishi wa chapati yupo pale UDSM- COET Cafeteria. Sijui kama yule mtoa huduma bado yupo! Zile chapati zinauzwa 500 TShs. Zile unaweza kula chapati za 1.1 billion!
Morogoro kuna hotel ipo pale MSAMVU, mabasi kutoka Dodoma huwa yanaingia pale Mchana kulisha abiria wake... Na Wao wana chapati tamu sana!
Naam, chapati yake ni rosti ya maini! Sio kingine..Hapa Sinza kumekucha kuna jamaa anaitwa Rich Boy anauza chapati/maharage/maini na chai maziwa kama imeungwa Tanga. Pale kuacha shilingi 1.1bn kitu cha kawaida. Zile chapati ukila lazima ufike kileleni kinywani
Ilikuwa zamani siku hizi hawaleti darTanga Kuna chapati Barbara ya 19 zinapikwa pale na maharage ya kukata then Kuna Oda dsm kila siku asubuhi zinabebwa mpaka dsm..ukifika pale unakuta gari zimepangana watu wanazigombea..
Kuna wamama Kama ishirini kila mtu na kikaango chake.. aisee ni hatari..