Amezwa na Nyoka aina ya Anaconda ili kumchunguza maumbile ya ndani ya Nyoka huyo

wazungu 'wapuuzi' wakati mwingine.

Acha ubwege hv unajua mafanikio ya tafiti nyingi yanawezeshwa n watu wenye courage kama ya huyu jamaa.
Poor Africans uoga ndo umaskini wenu.

Na mtaendelea kulamba miguu ya wazungu hadi mtakapopata akili...
 
Umesahau ile 12 inc Pork sausage.
Nadhani hii lzm upewe kila Siku uikalie!

Teh teh teh teh!

Cheki mishkaki ya mdudu hiyo...

kabobs111.jpg

Taaakbiiiiiiir walahu unamkubali:madgrin::becky::becky::becky:
 
Nyani Ngabu umenifurahisha sana na hiko kipindi cha House Hunters International Huku kwetu kwa wala vumbi tunakipata kwenye Azam Channel ya Fine Living.
 
Last edited by a moderator:
Mishkaki ya mdudu hiyo wewe.

Najua unapenda mdudu na huwa unajiambia mwenyewe 'huyu kuku huyu' halafu unamla.

Tunawajua sana nyie mlivyo

living_kabobs_hd.jpg

huyu mdudu mtamu sana anayeniambia haram napata mashaka nae anatumia kiungo gani cha kufikiri
 
sidhani kama hizi habari zina ukweli wake,ina maana mpaka process yote hiyo hawakupiga picha angalau mkatuwekea akiwa ndani ya huyo nyoka, au hata akiwa anatoka ndani au akiwa ndo kwanza anaingia? kwanini tusionyeshwe picha hizo zaidi ya kuonyeshwa mtu kabeba nyoka na kuvalia mavazi meusi kama ya kininja? mimi napenda sana kutafakari kabla ya kuamini!!
 
Ulikiangalia hicho kipindi cha Eaten Alive kwenye chaneli ya Discovery?
 
Cheki mishkaki ya mdudu hiyo...

kabobs111.jpg

Taaakbiiiiiiir walahu unamkubali:madgrin::becky::becky::becky:

Ukiona kitu kinajadili ujue kimekubalika, na ukiona kinajadiliwa mpaka kuitwa chicken ujue kimekubali zaidi jinsi kilivyo kitamu.
 
Yeah nakubaliana na Nyani Ngabu, jana hicho kipindi kimerushwa saa tatu huku Noth America hata mimi nimekiona saa tatu hapa ca. Hakumezwa kabisa ila alifanikiwa kuingia kidogo mdomoni mwa jamaa.
 
Yeah nakubaliana na Nyani Ngabu, jana hicho kipindi kimerushwa saa tatu huku Noth America hata mimi nimekiona saa tatu hapa ca. Hakumezwa kabisa ila alifanikiwa kuingia kidogo mdomoni mwa jamaa.

Afadhali umejitokeza ku vouch nilichokiandika.
 
Kwa wale ambao hamkuona hii kitu, mnaweza mkadownload kupitia torrent sites...
 
Back
Top Bottom