Amezwa na Nyoka aina ya Anaconda ili kumchunguza maumbile ya ndani ya Nyoka huyo

Afadhali umejitokeza ku vouch nilichokiandika.

Mimi sikuona lakini najua kwamba ilikuwa ionyeshwe jana na wamekuwa wakikitangazia kwa muda sasa.

Leo nimesoma kwenye yahoo na bbc news kwamba jamaa wengi wamechukia kweli kwani wamedanganywa, walidhani angemezwa kabisa na baadae kutolewa kutoka tumboni kwa anaconda. Duniani kote watu walikuwa wanasubiri kwa hamu hiyo documentary lakini walikuwa disappointed na matokeo.

It seems jamaa ameingia woga - mfano kama kimashine chake kingeharibika ndiyo ingekuwa mwisho wake.
 
Huyo jamaa ni katili sana wa haki za anaconda.........kwanza alimpotezea muda wake wa kutafuta mlo wa siku........na isitoshe alimdhulumu kisaikolojia maana anaconda alishajua kapata mlo.........ni udhalimu mkubwa pale ambapo unanyang'anywa tonge mdomoni.........labda mniambie baadae anaconda alipewa mlo........vinginevyo hilo kundi zima ni la wauaji..........
 
Back
Top Bottom