Amesema ataniwekea sumu!!!

Amesema ataniwekea sumu!!!

dah.. au uyo mdada atafute dawa kama yayule mwezako ukitoka tu nje mzee ashindwe kufanya kazi.ukiludi nyumban hali shwali mpaka kunakucha.asije akajitafutia kesi ya mauaji bule..

mwe!!! hata mechi za mchangani zishindikane?
 
uwe unatembea ma maziwa tayari tayari, au usikose maziwa kwenye friji
Hahahahahahahaha unamaanisha wakati wa chakula kila siku asikose maziwa mkuu na hasa akiwa amechiti ndio anywe kwa wingi.
 
wadau,hasa kwa wale mliooa na kuolewa,na wengine wote kwa ujumla,wikend iliyopita nilikuwa napiga stori na waifu,baada ya kuniambia ananipenda sana akasema,siku akijua nina mcheat ataniwekea sumu kwenye chakula ili nife.dah,kauli ile ikanistua sana ukizingatia nilishawahi kucheat mara moja miaka ya nyuma japokuwa hakuwahi kugundua na mpaka leo ananiamini sana!!!bandugu hivi na ninyi huwa mnakutana na kauli kama hizi au ni waifu anafikiria kunichenjia?

Chunguza familia yao, isije ikawa wana asili hiyo!
 
kwikwikwiiiii,,,, uhuhuhuhu...! mwenzenu nimecheka mpaka machozi! du! sikujua kama mnaogopa!
 
nadahni mlikuwa mnaongea kiutani, lakini ikakuchoma!!!!!

basi na wewe mwambie mkeo kuwa siku ukigundua kuwa anakusaliti, utatumia cha moto kama wenzetu wa chuaga!

equation balanced! wa kwanza kufa ndio looser!
 
nadahni mlikuwa mnaongea kiutani, lakini ikakuchoma!!!!!

basi na wewe mwambie mkeo kuwa siku ukigundua kuwa anakusaliti, utatumia cha moto kama wenzetu wa chuaga!

equation balanced! wa kwanza kufa ndio looser!

cha moto sina ndugu yangu,labda nimng'ate meno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom