Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #141
Tena usinisemeshe,muone kwanza bichwa lako bayaaaa....
tobaaa!!! c jana tu umeniita handsome?leo nimekuwa bichwa baya tena???
Tena usinisemeshe,muone kwanza bichwa lako bayaaaa....
hahahahh alikujia na technique ya kukuxomesha oxford USA nin..wakati yeye kasoma udsm..Maana huyo namjua alivyo muongo...
kozo okamoto ata usijali vale anavyokusifiaga nakwambia ata kukunyima hawezi kesho tu utamwona huyooooo mpole....
yaani hapa ndo nakuokoa na kaburi hivyooo..maana mkeo kashaaza kuwa na wasiwasi na nyendo zako...
He he he wanawake wakiwa hivyo watakufa wanaume karibia wote Tz,
Humu jamiiforums watabaki wanawake tu na wadada,
minahisi anamaanisha kichwa cha juu maana kilekingine alikataa kisikatwe sababu kizuriiiiiiii.
mkuu nimeshindwa kuiaplod pm,nimeona sio vibaya nikaiaplod hapa
purely mnaendana!!
kama yeye yuko hivi halafu wewe kwenye avatar uko hivyo, basi droo mbili zimekutana!
akikuchum nahisi uso mzima unatapakaa..... ____!!
mwe!!!aisee usimseme vibaya waifu.mwenyewe hapo katokelezeaje
Ebu sema ukweli,ananshinda mie?
eee aaaah mmmmmmmmh u knowwww ammmmmm
vale jaman sitaki kuamin kama na wewe umemshinda mke mkubwa kwa lipsi........
itakuwa raha sana mana munatukera!!