Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
msala mwingine huu...kweli siku ya mikosi ni mikosi tu,unapanda mchicha inaota bangi ili tu ukamatwe na polisi
Kwanzia leo sikutaki tena....
msala mwingine huu...kweli siku ya mikosi ni mikosi tu,unapanda mchicha inaota bangi ili tu ukamatwe na polisi
itakuwa raha sana mana munatukera!!
Kwanzia leo sikutaki tena....
valentina muongo kaogoa kuuziwa kesi.usije ukalishwa sumu nyumbani ukaenda kufia juu ya kifua chake......
hahahahhh pole naenda kusema kwa mkeo.jiandae na uandike wosia mapema....
sasa je maana unabembeleza nyumba ndogo.kuliko kumpoza mkeo.jiandae tuje tukate malighafi yetu.kisha ndo uende kwa valentina wako.sijui utatumia nini???
majanga sasa!!!valentina njoo huku uimalize hii kesi,eti huyu nae anasapoti "kirikou" ikatwe!!!!
sasa je maana unabembeleza nyumba ndogo.kuliko kumpoza mkeo.jiandae tuje tukate malighafi yetu.kisha ndo uende kwa valentina wako.sijui utatumia nini???
msala huu kauleta yeye,halafu ananitosa,kweli? iiiiiiii aaaaaaaaa,basi tu ngoja nilie kimoyo moyo
kumtia jakamoyo ungemwambia ushawahi ila huna mpango tena
He he he wanawake wakiwa hivyo watakufa wanaume karibia wote Tz,
Humu jamiiforums watabaki wanawake tu na wadada,
Utajibeba nakwambia....
Wala sikusaidii ng'oo....
Na -------
cha moto sina ndugu yangu,labda nimng'ate meno