neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,860
- 2,149
Uwe mwangalifu hawa watu wamevurugwa sana miaka hii.
haha haaaa ..na wavurugaji ndo wao. Ukimvuruga mtu nae anakuvuruga kisawa sawa!
Uwe mwangalifu hawa watu wamevurugwa sana miaka hii.
Sumu mbaya sana na ndio sababu wanahimizwa kuwa wasafi wakiwa mwezinikwani damu ya hedhi ni sumu
basi usimcheat mkeo...PERIOD!
Hiii funga mwaka, me nishaambiwa nachinjwa
Sumu mbaya sana na ndio sababu wanahimizwa kuwa wasafi wakiwa mwezini
Hata Mimi nilipewa onyo kama hilohilo na Mimi nikamuuliza je namimi nikikufuma je, unajua alichonijibu
nunua sumu ambayo haitakutesa weka ndani ukicheat tu kunywa kabla ajakuwahi
itakuwa raha sana mana munatukera!!
tobaaaaa hata wewe???????
kwani huyo shemegi ni wakulee.....!?
na wewe kwa nini ucheat? kuna kitu mkeo hana ambacho wengine waacho?
Si bora uwekewe sumu..mana dini ya kiislamu mzinifu alie katika ndoa adhabu yake ni kupigwa mawe mpaka kufa..
Acha kula msosi home