Amesema ataniwekea sumu!!!

Amesema ataniwekea sumu!!!

wadau,hasa kwa wale mliooa na kuolewa,na wengine wote kwa ujumla,wikend iliyopita nilikuwa napiga stori na waifu,baada ya kuniambia ananipenda sana akasema,siku akijua nina mcheat ataniwekea sumu kwenye chakula ili nife.dah,kauli ile ikanistua sana ukizingatia nilishawahi kucheat mara moja miaka ya nyuma japokuwa hakuwahi kugundua na mpaka leo ananiamini sana!!!bandugu hivi na ninyi huwa mnakutana na kauli kama hizi au ni waifu anafikiria kunichenjia?

na kama wanaume mngejua wanachowaambia wanaume wengine mngelia mbaya!mi hata wangu akitaka kunambia hivyo namwambia ukishaniua hauta olewa tena?
 
Huyo mke wako ana miaka mingapi sasa?

Inaonekana ameshazeeka sana na mnaanza kutaniana uzeeni!

Kama bado ni binti binti hebu ntumie picha pm nimu-assess halaf ndo nikupe advice!

Its important, hurry!
 
wadau,hasa kwa wale mliooa na kuolewa,na wengine wote kwa ujumla,wikend iliyopita nilikuwa napiga stori na waifu,baada ya kuniambia ananipenda sana akasema,siku akijua nina mcheat ataniwekea sumu kwenye chakula ili nife.dah,kauli ile ikanistua sana ukizingatia nilishawahi kucheat mara moja miaka ya nyuma japokuwa hakuwahi kugundua na mpaka leo ananiamini sana!!!bandugu hivi na ninyi huwa mnakutana na kauli kama hizi au ni waifu anafikiria kunichenjia?

Ingekuwa watu wanaogopa kifo wakati wanaenda kucheat, kusingekuwa na maambukizi mapya ya UKIMWI kila siku kwenye ndoa...
 
Huyo mke wako ana miaka mingapi sasa?

Inaonekana ameshazeeka sana na mnaanza kutaniana uzeeni!

Kama bado ni binti binti hebu ntumie picha pm nimu-assess halaf ndo nikupe advice!

Its important, hurry!

mkuu nimeshindwa kuiaplod pm,nimeona sio vibaya nikaiaplod hapa
 
mkeo mzuri....valentina kaonaje wivu alitamani umuweke yeye..mshauli akagombee umiss
 
vale na wewe una mambo leo ndo unaona bichwa baya wakati unataka kusababisha mauaji ya mwezako.vibaya hivyo.......
 
kozo okamoto ata usijali vale anavyokusifiaga nakwambia ata kukunyima hawezi kesho tu utamwona huyooooo mpole....
 
vale na wewe una mambo leo ndo unaona bichwa baya wakati unataka kusababisha mauaji ya mwezako.vibaya hivyo.......

Siametaka mwenyewe jamani...mi mwanzo nlimkatalia,,,lakin akanishawishi weeeee kila mbinu alitumia nami bila hiyana mmh sinikajikuta nimenasa tunduni. Lol lol
 
hahahahh alikujia na technique ya kukuxomesha oxford USA nin..wakati yeye kasoma udsm..Maana huyo namjua alivyo muongo...
 
We acha tu...kipindi hicho nilijihisi naelea juujuu dunia yote yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom