We jimumunye tu hapo...nasubiri jibu
safiii sana,mkeo ana akiliii! nimempenda buree!
vale jaman sitaki kuamin kama na wewe umemshinda mke mkubwa kwa lipsi........
lisemwalo lipo kama halipo bac lipo njiani laja
kiukweli wengi huwa wanasubiri yawafike ndo wachukue hatua,sasa utachukuaje hatua ukiwa umekufa!