Mara hii? Yaani hata wenzake hatujapata yeye ameshapoteza? Huyo ameshindikana mkuu muache tu

Yaani bora awe mpole tu, kwani kwa hasira walizonazo huko tume ya uchaguzi, juu ya matusi wanayopata kila siku leo uende eti nimepoteza kitambulisho!! wanaweza wakatoa mfano juu yako, kwa kumpa adhabu kali sana ili liwe fundisho. Kuna watu hata kukiona tu bado ye ameshapoteza!!! labda aende mkoa mwingine kama anandugu, na bado zoezi hilo linaendelea/au haujafikiwa atajiandikisha huko, ila atakuwa na uwezo wa kumchagua raisi tu, si wengine. Mpe onyo asithutu kabisa kuwaona tume, kwani hasira walizo nazo za wazee wazima kusutwa kama watoto, watammalizia yeye.Rafiki yangu Raheli ni mkazi wa Njombe. Alijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mwezi mmoja uliopita, kwa bahati mbaya jana amekipoteza na hajui cha kufanya ili apate kingine, sasa anaomba ushauri. Nini cha kufanya?
Mara hii? Yaani hata wenzake hatujapata yeye ameshapoteza? Huyo ameshindikana mkuu muache tu
Yaani bora awe mpole tu, kwani kwa hasira walizonazo huko tume ya uchaguzi, juu ya matusi wanayopata kila siku leo uende eti nimepoteza kitambulisho!! wanaweza wakatoa mfano juu yako, kwa kumpa adhabu kali sana ili liwe fundisho. Kuna watu hata kukiona tu bado ye ameshapoteza!!! labda aende mkoa mwingine kama anandugu, na bado zoezi hilo linaendelea/au haujafikiwa atajiandikisha huko, ila atakuwa na uwezo wa kumchagua raisi tu, si wengine. Mpe onyo asithutu kabisa kuwaona tume, kwani hasira walizo nazo za wazee wazima kusutwa kama watoto, watammalizia yeye.
Rafiki yangu Raheli ni mkazi wa Njombe. Alijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mwezi mmoja uliopita, kwa bahati mbaya jana amekipoteza na hajui cha kufanya ili apate kingine, sasa anaomba ushauri. Nini cha kufanya?
Mkuu sidhani kama mashine itakubali kusoma mara mbili ,

Huyo inabidi achapwae viboko 26 hadharan maana anachelewesha ukombozi
Rafiki yangu Raheli ni mkazi wa Njombe. Alijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mwezi mmoja uliopita, kwa bahati mbaya jana amekipoteza na hajui cha kufanya ili apate kingine, sasa anaomba ushauri. Nini cha kufanya?[/QUOTE
Mzembe
Huwa baadhi ni wazembe, na wengine b'mbaya muhurumie kisha mpotezee.Mara hii? Yaani hata wenzake hatujapata yeye ameshapoteza? Huyo ameshindikana mkuu muache tu