Amepoteza kitambulisho cha BVR, afanyeje?

Rafiki yangu Raheli ni mkazi wa Njombe. Alijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mwezi mmoja uliopita, kwa bahati mbaya jana amekipoteza na hajui cha kufanya ili apate kingine, sasa anaomba ushauri. Nini cha kufanya?

Cha kufanya ni kukitafuta MPAKA AKIPATE.

Huo ni uzembe.
 
Rafiki yangu Raheli ni mkazi wa Njombe. Alijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mwezi mmoja uliopita, kwa bahati mbaya jana amekipoteza na hajui cha kufanya ili apate kingine, sasa anaomba ushauri. Nini cha kufanya?

Sasa alikuwa anazurula nacho cha nn?
 
hamkumwelewa mtoa mada. Lengo lake ilikua kuiambia serikali iweke njia mbadala ya upatikanaji kuliko hii iliyopo ya msimu
 
Rafiki yangu Raheli ni mkazi wa Njombe. Alijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mwezi mmoja uliopita, kwa bahati mbaya jana amekipoteza na hajui cha kufanya ili apate kingine, sasa anaomba ushauri. Nini cha kufanya?

Niko tayari kumsaidia apate kingine ndani ya siku chache; swali moja tu kwako, je jamaa anamlengo gani? Magamba au UKAWA??
 
Pole yake jamani, sidhani kama kuna alternative nyingine kwa sasa, asubiri mikoa yote tuandikishwe labda tume itatoa tangazo kwa wote waliopoteza watasaidiwaje kabla ya Oct 25
 
NEC vwalipanga watakuja awamu ya pili wakishabandika majina ili kuja kuhariri kama umehamia, umekufa, kimeharibika, kimekosea hapo ndo ataweza kujiandikisha lakini kwa luangalia mda ulivyo mchache hadi sasa sidhani kama watafanya tena hili zoezi maana mashine zile zinatusumbua, ila Mimi nimepata mafunzo tayar ya hiyo ni form no 5 ndo inayofanyia kwaajiri ya uboreshaji
 
Back
Top Bottom