Amepewa mimba na mwanaume mwenye umri mdogo

Amepewa mimba na mwanaume mwenye umri mdogo

Jipinde kaongee na wazee wa dogo kiutu uzima, uwaombe msaada kwa sasa na utakapojifungua. Mtoto ni baraka, haijalishi alipatikana ktk mazingira gani.

baraka wapi wewe uzinzi huo ambao mungu ameukataza laana tu hiyo aombe awe ajaunganishwa na REA
 
Consequences hizo....mambo hayo angefikira kabla. Anyways pole yake ndo ukubwa.
 
napenda kugegeda mabinti wakubwa au wamama because akinasa sipati usumbufu
 
Daaah haya malavidavi sio mchezo akomae nayo tu na akitoa hiyo ya miezi 6 itaondoka nae hapo mistake ilishafanyika ajipange kuongea na wazazi no way out...
 
Na liwe fundisho kwa wale wote wenye tabia kama hizo.
 
Tamalisa,

Kwa maelezo yako ni kwamba, huyo shosti wako atajifungua takribani mwezi mmoja kabla ya kuanza mitihani... bila shaka hii itamuathiri sana... huku mtoto mchanga, huku maandalizi! Yameshatokea and can never be reverted.. similar mistakes zinafanywa na hata wanaoponda na kukashifu kwenye uzi huu! Issue sio umri, angeweza kupigwa mimba hata na mtu mwenye umri sawa au kumzidi na tena mtu mwenye uwezo wake na bado akamkimbia! Matumizi ya kondom, sawa inaonekana kama ni logical argument... lakini ni wangapi miongoni mwenu mnafanya ngono bila kondom?

Anyway, ushari wangu ni kwamba, mpe moyo huyo rafiki yako... a-concentrate kwenye shule ingawaje nafahamu itakuwa ngumu lakini no way out, limeshatokea na hawezi kulibadilisha! KKwavile changamoto kubwa ninayoiona mbele yake ni ile fact kwamba atajifungua wiki chache tu kabla ya kuanza mitihani na katika mazingira kama hayo, lazima itamuwea vigumu huku analea huku anajiandaa na mitihani. Kutokana na hilo, nipo tayari kumsaidia kumlipia dada wa kazi for the first six months provides mshahara wake hautazidi sh. 30,000/- na kama utazidi hapo, mchango wangu utakuwa ndio huo kwa sababu uwezo wangu unaishia hapo. We can start mwezi Mei ili hata wakati anajiandaa na paper, awepo mtu wa kumsaidia mambo madogo madogo.

Sijawahi kutaniana na wewe na wala sikumbuki endapo nimeshawahi kugongana na wewe kwenye mijadala humu JF kwahiyo I hope you'll take it serious! So, akishapata huyo dada wa kazi, let me know.
 
Aha! uzi wangu umerudi jamani anaendelea poa japo changamoto zipo, tumbo ndo hilo baada ya miezi michache mambo yakaa poa.
 
Sasa imekuwaje wewe ndiyo ije kumuombea ushauri hapa jukwaaani? nakubaliana kabisa na mchangiaji mmoja hapa wewe ni muathirika wa hii issue. Halafu kwani wewe ulianza uhusiano na huyo boy friend wako tokea lini? Katika mazingira gani, ukiwa na malengo gani na unahitaji nini, kivipi?
 
kwani siku walopoamua kukata viuno waliomba ushaur kwa nani? nafikir huyo aliyewashaur mwanzo awashaur na sasa lkn km waliamua wenyewe tu tena wakiwa kwenye vicheko vya mahaba basi walinywe wenyewe. Mwanzo alijua kijana wa miaka 19 hana uwezo wa kuzalisha??? msomi mzima unaakili ya bata.
 
Habari zenu jamani.

Nina rafiki yangu amekuja Dar es salaam kusoma yupo chuo kikuu fulani hapa jijini,kwasasa ni mwaka wa tatu, na mwezi wa sita anatarajia kumaliza. Bahati mbaya mwaka jana alibeba mimba, kwasasa ni kubwa tu miezi kama 6 na wiki 2 hivi.

Chakusikitisha mimba kapewa na kijana mdogo kama miaka 19 hivi na bado ni mwanafunzi kabisa na anaishi kwa
wazazi yani mbele wala nyuma.Jamani ni hali ni mbaya mawazo yamemjaa, masomo ndo hayo, bora hata huyo muhusika angekuwa anamaisha yake

Amchukue akakae naye lakini ndo hivyo tena, maisha ni ya hosteli tu na chuo kama mjuavyo ratiba zake. Wazazi wake huko mkoani wamechanganyikiwa na wala hakuna msaada hata hawasemi chochote ni kama wamemtenga tu. hii ndo rikizo inaishia wanafungua chuo, sijui hata maisha yatakuaje hadi kujifungua kufike.

Ushauri wenu jamani atakapomaliza chuo na kujifungua atafanya nini endapo wazazi bado hawataonesha msaada
maana kwa hali ilivyo hawezi hata kusema atarudi home, na Dar es salam kaja kusoma tu.

Sijui maisha yake yatakuaje nipeni mawazo nichanganye na yangu ili nijue cha kumtia moyo zaidi. Dogo mwenye mzigo kasepa kahamia mkoani kwa dada zake japo wazazi wake wapo hapa Dar es salaam.

Ushauri please
mwambie hayo ndio matunda ya zinaa, mwambie akifa na Mungu anamsubiri
 
hahaha.

amenikumbusha nilivyokuwa na miaka 16 nilikuwa na boyfriend wa miaka 14!!!(sikuwahi kulala naye)

basi nikiwaambia watu umri wake nawahi kujitetea "But He's Taller Than Me!" hahaha

pole dada....me naogopa mimba kama ebola....
cha kufanya hapo weka aibu pembeni uende kwa wazazi wa huyo mkaka na wazazi wako...waambie kabisa nisaidieni tu hadi nikimaliza chuo....
 
Yeye wakati anapanua alitegemea nini kitafuata?
 
Mtoto mdogo hawezi kumpa mimba mwanamke yeyote yule hebu tengua kauli yako huyo siyo mtoto bhana!
 
Huyo alie leta hiyo thread ndo mhusika afu anazuga kumbe bado ana akili za kijijini anakubali kugegedwa bila kinga au ndo kalenga maisha kwa familia ya huyo dogo
 
Back
Top Bottom