Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Habari zenu jamani.
Nina rafiki yangu amekuja Dar es salaam kusoma yupo chuo kikuu fulani hapa jijini,kwasasa ni mwaka wa tatu, na mwezi wa sita anatarajia kumaliza. Bahati mbaya mwaka jana alibeba mimba, kwasasa ni kubwa tu miezi kama 6 na wiki 2 hivi.
Chakusikitisha mimba kapewa na kijana mdogo kama miaka 19 hivi na bado ni mwanafunzi kabisa na anaishi kwa
wazazi yani mbele wala nyuma.Jamani ni hali ni mbaya mawazo yamemjaa, masomo ndo hayo, bora hata huyo muhusika angekuwa anamaisha yake
Amchukue akakae naye lakini ndo hivyo tena, maisha ni ya hosteli tu na chuo kama mjuavyo ratiba zake. Wazazi wake huko mkoani wamechanganyikiwa na wala hakuna msaada hata hawasemi chochote ni kama wamemtenga tu. hii ndo rikizo inaishia wanafungua chuo, sijui hata maisha yatakuaje hadi kujifungua kufike.
Ushauri wenu jamani atakapomaliza chuo na kujifungua atafanya nini endapo wazazi bado hawataonesha msaada
maana kwa hali ilivyo hawezi hata kusema atarudi home, na Dar es salam kaja kusoma tu.
Sijui maisha yake yatakuaje nipeni mawazo nichanganye na yangu ili nijue cha kumtia moyo zaidi. Dogo mwenye mzigo kasepa kahamia mkoani kwa dada zake japo wazazi wake wapo hapa Dar es salaam.
Ushauri please