Amepewa mimba na mwanaume mwenye umri mdogo

Amepewa mimba na mwanaume mwenye umri mdogo

Cha msingi azae tu hayo mengine yatajipanga mbele ya safari.
 
All in all, please mtie moyo, but she has to pay for that! amewaacha wangapi mpaka akaenda kwa huyo dogo? yani this is shame, tena akalala naye, bila condom:A S-frusty2::A S-frusty2:? tena siku mbaya? jaman series zote hizi za Ujinga na yeye ni Mkubwa? how comes? she will make it somehow I am sure, women are strong but she wanted it!:shocked:
 
Sipati picha. Kama Tom and Jerry
 
jinsi ulivyoleta taarifa hiyo hapa vivyo hivyo andaa taarifa ya kumuombea msaada
 
Atulie azae...kama amevumilia kulea mimba kwa miezi 6, nadhani alikuwa na malengo ya kulea mwana.
 
Huyo sio mtoto.. Watoto wanapwelepweta je huyo ilikuaje?:what::what::what:
 
Mwambie akijifungua alete mtoto nim-asili (adopt) nahitaji mtoto
 
Duh! kama kajifanya mbunge waqt ni yeye mwenyewe huko kijasho kinamtoka watu wanampa makavu live.
 
Back
Top Bottom