GE2025 Amenikera sana POLEPOLE! Alijiaminisha na nini kuwa hapa nchini! Umesaliti mapambano! Sterling hafi, anadumu movie iendelee. Sasa Umekufa!

GE2025 Amenikera sana POLEPOLE! Alijiaminisha na nini kuwa hapa nchini! Umesaliti mapambano! Sterling hafi, anadumu movie iendelee. Sasa Umekufa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
1. Amewezaje kuzungumza mazito yale akiwa Ununio?
2 . Amewezaje kutumia namba za simu alizosajiri kwa jina lake?
3. Kwanini hakuwa na bastola au hata bunduki kubwa kujilinda? Katika mazingira yale ya kuvamiwa angeweza kuwamaliza mapema tu
 
Ningekuwa level ya polepole, hawa kima ningewasumbua saana, labda kama wangeomba msaada toka kwa MI6, CIA na mabingwa wengine, ila hawa 4m 4 failures, wasingeambulia patupu na wangejichanganya kama walivyotimba pale ununio, familia zao nyingi zingekosa baba.
 
Huyu ameuzwa na watu aliowaamini.
Huu usemi una maana kubwa sana kiusalama
Every man has his price
images (34).jpeg
 
Ni hilo tu! Shujaa mfu! Ilibidi uhakikishe hufi mpaka uone mwisho wa mapambano yako!
SHUJAA MFU, HAIJATUSAIDIA
Halafu alimlaumu Magufuli kwenda kufungua kiwanda cha Rostam,kuwaamini tena wanamitandao then wakamuua.Huku yeye mwenyewe akifanya kosa kubwa mno..Kuwasema wanamitandao akiwa hapo Ununio. Alitakiwa awe nchi ya nje .
 
Exactly, kama walimuua Magufuli as per his assertion, sasa kweli alivyowakandia wamuache? He is dead!
 
What goes around will come back around. Kibinadam km kweli polepole ndio ametekwa na zile damu hili linasonesha sana sana lkn uki trace back miaka 5 nyuma tangu sasa Mr polepole alikera sana watu. Mungu wetu wa mbinguni amtetee kadiri ya inavyompendeza.
 
Back
Top Bottom