Amenidhalilisha vibaya nalazimika kumuacha

Amenidhalilisha vibaya nalazimika kumuacha

Hahahahaha Thubutuuu, umuoneshe demu nia yako?? Et unataka kumuoa hahahaha hahahahahah hahahahahahhahahaha


Utanyimwa K, alafu kuna Fala anaitombaaaa mpaka anaikataa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mimi mwendo ni mberee kwa mbereeeee
Kuna muda unakuwa kichaaaaa
Kuna muda unakuwa mtuuuu

Kitaalamu: hutakiwi kuwa na mwanamke mmoja [emoji16][emoji16]
 
Wanawake sisi kwa maisha haya asilimia nyingi wakaka waongo.
Eti ulikuwa unampa kila kitu .
Hutujui ungekuwa unamtimizia mahitaji yote husingemkuta na huyu mwanaume.
Humuudumii .
Nyie kumpa mwanamke kila kitu ni kumpa,shoo nzuri.
Malay ndio wanapenda kuliwa vizuri ila wanawake wenye akili zao wanaojitambua wanapenda matunzo na muda wako.
Mf.Umsaidie kwenye biashara zao tena akikwama.
Mchangie kodi tena,sio kila,saa.
Umtoe out akanunue vitu anavyotaka kuongeza hata yeye anajua kuwa wewe unahitaji nguo atakuita atakutoa ukianza lolote kwa mwanamke yeye naye atafanya ila kwa wewe na hi mada wewe mwongoo.
Asingedhubutu kumleta mtu kwake kama unatimiza vyote.
Acha kutudanganya
Kumbe
 
Tangu jana nakutana na mada za usaliti kutoka kwa wanawake, Wanawake ambao walichukuliwa kama mke na wanaume wao.

Namaanisha hao wanaume walikua na future na hao wanawake lakini mwishowe wamesalitiwa vibaya.
Nazidi kusisitiza, tusiwalau hao watoto wetu wa kike kwa vile ndoa ni game of chance; nani anaijua kesho. Ni muhimu kwa binti kuwa na BACKUP
 
NI MAAMUZI YANAYONIUMIZA

Nalazimika kumuacha mpenzi wangu ninayempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndio naishiwa pozi kabisa.

Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhimu wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru Mungu mpaka naondoka ndani ya ile nyumba wapangaji hawakufahamu alichokifanya mpangaji mwenzao labda baada ya mimi kuondoka.

Huyu ni mwanamke pekee ambaye hapo kabla niliona angalau ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake nilimuamini kiasi kwamba akawa yeye ndio muongozo wa maisha yangu kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada.

Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Tena pale chako ni chako unajichagulia tu. Hahaha.
Kwa nini ufuge ng'ombe wakati shida yako ni maziwa ? Nunua dukani au weka bill somewhere
 
Na yeye alifanya uzembe sana sasa ilikuwaje kuekt mmoja awe hata anko
 
Nazidi kusisitiza, tusiwalau hao watoto wetu wa kike kwa vile ndoa ni game of chance; nani anaijua kesho. Ni muhimu kwa binti kuwa na BACK UP
Love is the most controversial phenomena
Upo sahihi kiaina ila sio suala la umuhimu namna hio.
 
Hahahahaha Thubutuuu, umuoneshe demu nia yako?? Et unataka kumuoa hahahaha hahahahahah hahahahahahhahahaha


Utanyimwa K, alafu kuna Fala anaitombaaaa mpaka anaikataa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mimi mwendo ni mberee kwa mbereeeee
Hv mkuu hii inatokana na nn ..Yan demu ukiwa nice ..na umeonyesha Nia anazingua Ila wahuni ndo wanaachiwa
 
Pengine la kujiuliza hapa ni je, wewe mwanaume unapomchukulia mwanamke serious, yeye (mwanamke) anajua kwamba upo siriaz? Je na yeye anakuchukulia wewe siriaz?

Kumchukulia mwanamke siriaz maana yake ni kujitokeza kwa wazazi, kutoa mahari na kuanza mchakato wa kumuoa! Kinyume na hapo kama wewe unammega tu vichochoroni huko halafu unadhani upo siriaz, dogo unajidanganya!! So long as hujaonesha nia ya dhati ya kumuoa, yeye yupo free kugawa mbunye maana nayeye anakua anatafuta mtu atakaekua nae siriaz.

Je mwanamke yupo siriaz na wewe? Kifupi ni kwamba kama mwanaume huna hela, wala huna mipango yoyote ya maana ya kujikwamua kiuchumi, hakuna mwanamke atakua siriaz na wewe. Anaweza kukupa mbunye, lakini anakua anakuchukulia kama mshkaji tu wa kupita wakati anatafuta mtu wa maana wa kua nae siriaz.
Nakubali mkuu [emoji817][emoji110]
 
NI MAAMUZI YANAYONIUMIZA

Nalazimika kumuacha mpenzi wangu ninayempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndio naishiwa pozi kabisa.

Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhimu wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru Mungu mpaka naondoka ndani ya ile nyumba wapangaji hawakufahamu alichokifanya mpangaji mwenzao labda baada ya mimi kuondoka.

Huyu ni mwanamke pekee ambaye hapo kabla niliona angalau ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake nilimuamini kiasi kwamba akawa yeye ndio muongozo wa maisha yangu kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada.

Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Ndio ukubwa huo kiongozi.
Wewe huyo tu mmoja unachukia mapenzi?
Mimi nikimpata tit for tat mchumba wangu ambaye nimempangishia chumba,nikamkanata na mwanaume ndani saa 5 usiku hiyo Ni 2007 na akanizuga kwamba ni jamaa wa rafiki yake. Sikutoa vurugu na jamaa alimpa mimba wakatoa na mwishowe wanaishi pamoja nadhani kwa mwaka mmoja tu.

Nikamkamata mwanamke wangu wa pili ambaye nyumbani alikuwa anatambulika,nae usiku coz nikisafiri nikarudi ghafla. Naye nilimpangishia chumba lakn mbali na ninakoishi Mimi. Huyu Ni 2009.

Wa Tatu ilikuwa 2013 dah huyu ndio aliniliza kweli kwa Mara ya kwanza nimekulia mwanamke. Cha ajabu wote sikuwahi kumpiga hata mmoja baada ya tulii. Huyu wa mwisho sikumpangishia maana yeye ni mwalimu huko Iramba Singida nami Niko DSM. Baada ya hapo sasa nimepunguza kupenda ila bado napenda lakn siyo kama zamani unajitoa kweli kwa mtu kumbe kicheche.

Kwahiyo kijana usikate tamaa utakuja kukutana na Eva wako.
 
Mkuu mbona hata hao ME waliokuwa serious wamepigiwa? Mmoja katoa hadi tako kwa 100K wakati anajua fika jamaa aliye naye anataka kumuoa. Haya mahusiano ya siku hizi USIBWETEKE kupita kiasi eti unamuamini mtu wako. Zuka nyumbani kwake bila taarifa kagua simu kwa kituo ili kuhakikisha hakuna ME mwenzio ambaye anapewa ambavyo wewe wala hujawahi kuviomba wala huna mpango wa kuviomba. Mapenzi ya siku hizi KIZUNGUMKUTI.
Pengine la kujiuliza hapa ni je, wewe mwanaume unapomchukulia mwanamke serious, yeye (mwanamke) anajua kwamba upo siriaz? Je na yeye anakuchukulia wewe siriaz?

Kumchukulia mwanamke siriaz maana yake ni kujitokeza kwa wazazi, kutoa mahari na kuanza mchakato wa kumuoa! Kinyume na hapo kama wewe unammega tu vichochoroni huko halafu unadhani upo siriaz, dogo unajidanganya!! So long as hujaonesha nia ya dhati ya kumuoa, yeye yupo free kugawa mbunye maana nayeye anakua anatafuta mtu atakaekua nae siriaz.

Je mwanamke yupo siriaz na wewe? Kifupi ni kwamba kama mwanaume huna hela, wala huna mipango yoyote ya maana ya kujikwamua kiuchumi, hakuna mwanamke atakua siriaz na wewe. Anaweza kukupa mbunye, lakini anakua anakuchukulia kama mshkaji tu wa kupita wakati anatafuta mtu wa maana wa kua nae siriaz.
 
Hii kauli yako imenichekesha sana 😂😂😂😂😂”Baada ya hapo sasa nimepunguza kupenda ila bado napenda”
Ndio ukubwa huo kiongozi.

Wewe huyo tu mmoja unachukia mapenzi?
Mimi nikimpata tit for tat mchumba wangu ambaye nimempangishia chumba,nikamkanata na mwanaume ndani saa 5 usiku hiyo Ni 2007 na akanizuga kwamba ni jamaa wa rafiki yake. Sikutoa vurugu na jamaa alimpa mimba wakatoa na mwishowe wanaishi pamoja nadhani kwa mwaka mmoja tu.

Nikamkamata mwanamke wangu wa pili ambaye nyumbani alikuwa anatambulika,nae usiku coz nikisafiri nikarudi ghafla. Naye nilimpangishia chumba lakn mbali na ninakoishi Mimi. Huyu Ni 2009.

Wa Tatu ilikuwa 2013 dah huyu ndio aliniliza kweli kwa Mara ya kwanza nimekulia mwanamke. Cha ajabu wote sikuwahi kumpiga hata mmoja baada ya tulii. Huyu wa mwisho sikumpangishia maana yeye ni mwalimu huko Iramba Singida nami Niko DSM. Baada ya hapo sasa nimepunguza kupenda ila bado napenda lakn siyo kama zamani unajitoa kweli kwa mtu kumbe kicheche.

Kwahiyo kijana usikate tamaa utakuja kukutana na Eva wako.
 
Dokta mitimingi nipo hapa.
Dawa
Choma chanjo ya covid19,ukanywe ampicillin,changanya na zile vidonge vya kulala .teremshia na whisky.
Utuletee mrejesho 👍
 
Amelaaniwa yeye anayemtania mwanad.

Mwanamke??? Nayee unamuwekea mipango ya miaka.kumi mbele

Mamaeeeee


Msiwe nice guy ..

Jana nmewambia...MWANAMKE AKILI YAKE IMEUMBWA KUEXTRACT FURAHA NA AMANI KUTOKA KWA MWANAE MWENYE KUMPELEKESHA MIKONO JUU MWENDO WA MATEKA.
Kama tumeimba wote vile, mikono juu mwendo wa mateka mikono juu
 
Ndo maana huwa tunawanyima hapo mnapokazia...

Kutoombaaa tuuu

Na mwishowe wanawake wengi wanaona bora waachie kutoombwaa na watu ambao hawana hata mpango nao na maisha. Ila wewe unayeonesha una nia na maisha nae unapigwa kalenda.

That’s life draft, unapishana na K/Mb unayoipenda hivii huku unageuka nyuma kuangalia hivi ndo naikosa hii K/Mb kweliii....[emoji28][emoji28][emoji28]
Mmmm.h
 
Yaan weee kuhudumiwa, kufanywa ujifeel salama , kitombo ... Vyote unapta


Ila eti nikuwekee.maanani??? Et ifikie wakt mpka nitake kujua upo wapi. Unafanya nn hahahah


My Dear, mimi mpaka unaweza jiuliza, nakupenda au sikupendi.

Na ukabaki najibu lako mwenyewe... Nikukute una mwanaume mwengine...ndohataaaa hunishtui mshipa wa mbooo.

Siwezi kuangukia Kwa mwanaume kama wewe
I know my type na hao ndio nitawaangukia baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We endelea kudate wagonjwa wa akili hao unaweza kuwafanya unacho taka
 
Hivi bado kuna mtu anawekeza kwenye kupenda?!
 
Back
Top Bottom