Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,677
- 55,957
kaka kuna kupenda na kuna reality ya maisha .Hujapenda bado
huo ni upumbav viwango vya sgr.

Hongera sana.Sasa umekua.naamini utajifunza kubalansi shobo ukiingia tena kwenye mahusiano.”Usiseme unamuamini mwanamke hata kama unamtania,watu na akili zao washajikweza na wakalia”.NI MAAMUZI YANAYONIUMIZA
Nalazimika kumuacha mpenzi wangu ninayempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndio naishiwa pozi kabisa.
Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhimu wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru Mungu mpaka naondoka ndani ya ile nyumba wapangaji hawakufahamu alichokifanya mpangaji mwenzao labda baada ya mimi kuondoka.
Huyu ni mwanamke pekee ambaye hapo kabla niliona angalau ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake nilimuamini kiasi kwamba akawa yeye ndio muongozo wa maisha yangu kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada.
Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
namba 1. nope ni ujinga.. itategemea maana si wote ni vichwa kuruka.Kuna binadamu wabishi sanaaa ...
1. MSIOE Ila hamsikii
2. Ukiwa na mbunye ikonge, ikisepa sio YAKO Tena.
Usije hata siku MOJA kumwamini mwanamke.
#YNWA
Aah na nyie nao bana pasua kichwa sana sometimeWe kweli ni agent wa shetani haki tena
damn man. hiyo point ya kumchukulia serious nimeikubaliPengine la kujiuliza hapa ni je, wewe mwanaume unapomchukulia mwanamke serious, yeye (mwanamke) anajua kwamba upo siriaz? Je na yeye anakuchukulia wewe siriaz?
Kumchukulia mwanamke siriaz maana yake ni kujitokeza kwa wazazi, kutoa mahari na kuanza mchakato wa kumuoa! Kinyume na hapo kama wewe unammega tu vichochoroni huko halafu unadhani upo siriaz, dogo unajidanganya!! So long as hujaonesha nia ya dhati ya kumuoa, yeye yupo free kugawa mbunye maana nayeye anakua anatafuta mtu atakaekua nae siriaz.
Je mwanamke yupo siriaz na wewe? Kifupi ni kwamba kama mwanaume huna hela, wala huna mipango yoyote ya maana ya kujikwamua kiuchumi, hakuna mwanamke atakua siriaz na wewe. Anaweza kukupa mbunye, lakini anakua anakuchukulia kama mshkaji tu wa kupita wakati anatafuta mtu wa maana wa kua nae siriaz.
Uko deep kuman.ina zako,[emoji1787]Ndo maana huwa tunawanyima hapo mnapokazia...
Kutoombaaa tuuu
Na mwishowe wanawake wengi wanaona bora waachie kutoombwaa na watu ambao hawana hata mpango nao na maisha. Ila wewe unayeonesha una nia na maisha nae unapigwa kalenda.
That’s life draft, unapishana na K/Mb unayoipenda hivii huku unageuka nyuma kuangalia hivi ndo naikosa hii K/Mb kweliii....[emoji28][emoji28][emoji28]
Ww ni mwanaume wa ajabu sana ivi unaendaje kumtembelea demu wako bila taarifa katika chumba ambacho wewe hujakilipia kodiNI MAAMUZI YANAYONIUMIZA
Nalazimika kumuacha mpenzi wangu ninayempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndio naishiwa pozi kabisa.
Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhimu wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru Mungu mpaka naondoka ndani ya ile nyumba wapangaji hawakufahamu alichokifanya mpangaji mwenzao labda baada ya mimi kuondoka.
Huyu ni mwanamke pekee ambaye hapo kabla niliona angalau ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake nilimuamini kiasi kwamba akawa yeye ndio muongozo wa maisha yangu kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada.
Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Ingia kwenye mahusiano ukijua "TUTAACHANA TU"...NI MAAMUZI YANAYONIUMIZA

Hebu jamaa arudi akampigie mwanamke magotikaka kuna kupenda na kuna reality ya maisha .
huo ni upumbav viwango vya sgr.
Pole sana ila .. ilaNI MAAMUZI YANAYONIUMIZA
Nalazimika kumuacha mpenzi wangu ninayempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndio naishiwa pozi kabisa.
Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhimu wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru Mungu mpaka naondoka ndani ya ile nyumba wapangaji hawakufahamu alichokifanya mpangaji mwenzao labda baada ya mimi kuondoka.
Huyu ni mwanamke pekee ambaye hapo kabla niliona angalau ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake nilimuamini kiasi kwamba akawa yeye ndio muongozo wa maisha yangu kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada.
Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Uko deep kuman.ina zako,[emoji1787]
Na Maisha yanasongaNdo mchezo wenyewe huo aahahahahaa
Na maisha yanasonga.
Pole mkuu,NI MAAMUZI YANAYONIUMIZA
Nalazimika kumuacha mpenzi wangu ninayempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndio naishiwa pozi kabisa.
Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhimu wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru Mungu mpaka naondoka ndani ya ile nyumba wapangaji hawakufahamu alichokifanya mpangaji mwenzao labda baada ya mimi kuondoka.
Huyu ni mwanamke pekee ambaye hapo kabla niliona angalau ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake nilimuamini kiasi kwamba akawa yeye ndio muongozo wa maisha yangu kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada.
Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Mkuu umeshusha bonge la nondo, chukua moja hapo nakuja kulipaHawa mademu ,tatizo lenu mnawachukulia kwa userious sanaaaa
Yaan hata km unaona anafaa, USIMPE KIPAUMBELEE. usifanye awe akilin. Moyon, damun na kila.mahal pako
Hawa ni wakuwatombaa tu , unamsaidiansaidia, unatombaaa
Siku zinaendaaaaa. Km ni wakuoa, utajikuta tu unamuoa.
Pole yako Babu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiwashauri MAUJANJA, mnasema wee Carlos ni Agent wa Shetan??
Pambaneni
Umewafuma jamaa akiwa anamla au wamekaa tu wanapiga story?NI MAAMUZI YANAYONIUMIZA
Nalazimika kumuacha mpenzi wangu ninayempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndio naishiwa pozi kabisa.
Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhimu wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru Mungu mpaka naondoka ndani ya ile nyumba wapangaji hawakufahamu alichokifanya mpangaji mwenzao labda baada ya mimi kuondoka.
Huyu ni mwanamke pekee ambaye hapo kabla niliona angalau ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake nilimuamini kiasi kwamba akawa yeye ndio muongozo wa maisha yangu kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada.
Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Kwahiyo unaoa huku ukijua mbunye inasuguliwa na masela huko nje?namba 1. nope ni ujinga.. itategemea maana si wote ni vichwa kuruka.
namba 2 nakubaliana na ww