Ushauri mzuri kabisa, Kasie...hapo kazi kwakeKumbe uko Dodoma.
Huko wanawake wengi ni wake za watu familia zao wameziacha Dar na pete walishavua.
Bora utafute wa Morogoro awe anakuja kukutembelea na sio wewe kumfata Morogoro.
Wekeza kwenye kutafuta hela, kila leo tunazaliwa wazuri.
Hii comment imenivunja mbavu wakati mada ni ya majonziPole,unateseka ukiwa wapi.
Jamaa alikua anakula mzigo...?NI MAAMUZI YANAYONIUMIZA
Nalazimika kumuacha mpenzi wangu nnaempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini Bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndo naishiwa pozi kabisa.
Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhim wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru mungu mpaka naondoka ndan ya ile nyumba wapangaj hawakufaham alichokifanya mpangaj mwenzao labda baada ya mi kuondoka.
Huyu Ni mwanamke pekee ambae hapo Kabla niliona Angalau Ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingin zaidi yake nilimuamini kias kwamb akawa yeye ndo muongozo wa maish yang kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada..
Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Ushauri mzuri kabisa, Kasie...hapo kazi kwake
Ktoka kwa baharia mzoefu.Hawa mademu ,tatizo lenu mnawachukulia kwa userious sanaaaa
Yaan hata km unaona anafaa, USIMPE KIPAUMBELEE. usifanye awe akilin. Moyon, damun na kila.mahal pako
Hawa ni wakuwatombaa tu , unamsaidiansaidia, unatombaaa
Siku zinaendaaaaa. Km ni wakuoa, utajikuta tu unamuoa.
Pole yako Babu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiwashauri MAUJANJA, mnasema wee Carlos ni Agent wa Shetan??
Pambaneni
Hawa mademu ,tatizo lenu mnawachukulia kwa userious sanaaaa
Yaan hata km unaona anafaa, USIMPE KIPAUMBELEE. usifanye awe akilin. Moyon, damun na kila.mahal pako
Hawa ni wakuwatombaa tu , unamsaidiansaidia, unatombaaa
Siku zinaendaaaaa. Km ni wakuoa, utajikuta tu unamuoa.
Pole yako Babu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiwashauri MAUJANJA, mnasema wee Carlos ni Agent wa Shetan??
Pambaneni
Sawa bi mkubwa nimekuelewaKumbe uko Dodoma.
Huko wanawake wengi ni wake za watu familia zao wameziacha Dar na pete walishavua.
Bora utafute wa Morogoro awe anakuja kukutembelea na sio wewe kumfata Morogoro.
Wekeza kwenye kutafuta hela, kila leo tunazaliwa wazuri.
Unaweza usimchukulie kwa u'serious lakini mwisho wa tukio ndo unajikuta kumbe ulikua seriousHawa mademu ,tatizo lenu mnawachukulia kwa userious sanaaaa
Yaan hata km unaona anafaa, USIMPE KIPAUMBELEE. usifanye awe akilin. Moyon, damun na kila.mahal pako
Hawa ni wakuwatombaa tu , unamsaidiansaidia, unatombaaa
Siku zinaendaaaaa. Km ni wakuoa, utajikuta tu unamuoa.
Pole yako Babu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiwashauri MAUJANJA, mnasema wee Carlos ni Agent wa Shetan??
Pambaneni
Kama nakuelewa hiviNdo maana huwa tunawanyima hapo mnapokazia...
Kutoombaaa tuuu
Na mwishowe wanawake wengi wanaona bora waachie kutoombwaa na watu ambao hawana hata mpango nao na maisha. Ila wewe unayeonesha una nia na maisha nae unapigwa kalenda.
That’s life draft, unapishana na K/Mb unayoipenda hivii huku unageuka nyuma kuangalia hivi ndo naikosa hii K/Mb kweliii....[emoji28][emoji28][emoji28]