Nenda kamuombe msamaha kwa kumfumaniaNI MAAMUZI YANAYONIUMIZA
Nalazimika kumuacha mpenzi wangu nnaempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini Bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndo naishiwa pozi kabisa.
Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhim wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru mungu mpaka naondoka ndan ya ile nyumba wapangaj hawakufaham alichokifanya mpangaj mwenzao labda baada ya mi kuondoka.
Huyu Ni mwanamke pekee ambae hapo Kabla niliona Angalau Ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingin zaidi yake nilimuamini kias kwamb akawa yeye ndo muongozo wa maish yang kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada..
Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Sasa hayo sio mapenzi bali ni uhaba wa akiliNenda kamuombe msamaha kwa kumfumania
Nimemshauri akaombe msamaha kwa kumfumania dada wa watuNdo maana huwa tunawanyima hapo mnapokazia...
Kutoombaaa tuuu
Na mwishowe wanawake wengi wanaona bora waachie kutoombwaa na watu ambao hawana hata mpango nao na maisha. Ila wewe unayeonesha una nia na maisha nae unapigwa kalenda.
That’s life draft, unapishana na K/Mb unayoipenda hivii huku unageuka nyuma kuangalia hivi ndo naikosa hii K/Mb kweliii....😅😅😅
Hujapenda badoMzee huo ni ufala
Nimemshauri akaombe msamaha kwa kumfumania dada wa watu
Amelaaniwa yeye anayemtania mwanad.Ktoka kwa baharia mzoefu.
Binadamu sio wa kumtumainia.
Hahahahaha Thubutuuu, umuoneshe demu nia yako?? Et unataka kumuoa hahahaha hahahahahah hahahahahahhahahahaNdo maana huwa tunawanyima hapo mnapokazia...
Kutoombaaa tuuu
Na mwishowe wanawake wengi wanaona bora waachie kutoombwaa na watu ambao hawana hata mpango nao na maisha. Ila wewe unayeonesha una nia na maisha nae unapigwa kalenda.
That’s life draft, unapishana na K/Mb unayoipenda hivii huku unageuka nyuma kuangalia hivi ndo naikosa hii K/Mb kweliii....[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio maana Ke anaweza kuishi na mtu bandidu kila siku anamdunda lkn yupo tu anakomaa.Amelaaniwa yeye anayemtania mwanad.
Mwanamke??? Nayee unamuwekea mipango ya miaka.kumi mbele
Mamaeeeee
Msiwe nice guy ..
Jana nmewambia...MWANAMKE AKILI YAKE IMEUMBWA KUEXTRACT FURAHA NA AMANI KUTOKA KWA MWANAE MWENYE KUMPELEKESHA MIKONO JUU MWENDO WA MATEKA.
Maana yake toka siku yakwanza ulikua seriousUnaweza usimchukulie kwa u'serious lakini mwisho wa tukio ndo unajikuta kumbe ulikua serious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu jana nakutana na mada za usaliti kutoka kwa wanawake, Wanawake ambao walichukuliwa kama mke na wanaume wao.
Namaanisha hao wanaume walikua na future na hao wanawake lakini mwishowe wamesalitiwa vibaya.
🤣🤣🤣 Hawa viumbe *****...Hahahahaha Thubutuuu, umuoneshe demu nia yako?? Et unataka kumuoa hahahaha hahahahahah hahahahahahhahahaha
Utanyimwa K, alafu kuna Fala anaitombaaaa mpaka anaikataa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mwendo ni mberee kwa mbereeeee
We kweli ni agent wa shetani haki tenaHawa mademu ,tatizo lenu mnawachukulia kwa userious sanaaaa
Yaan hata km unaona anafaa, USIMPE KIPAUMBELEE. usifanye awe akilin. Moyon, damun na kila.mahal pako
Hawa ni wakuwatombaa tu , unamsaidiansaidia, unatombaaa
Siku zinaendaaaaa. Km ni wakuoa, utajikuta tu unamuoa.
Pole yako Babu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiwashauri MAUJANJA, mnasema wee Carlos ni Agent wa Shetan??
Pambaneni
Karibu kwenye ulimwengu wa mapenzj ndugu mtendaji. Wewe ni mtendaji tu. Sheria za mapenzi zimekwisha andikwa. Hongera kwa ku play by the rules.NI MAAMUZI YANAYONIUMIZA
Nalazimika kumuacha mpenzi wangu ninayempenda sana, sielewi naenda kuishi maisha gani bila ya ukaribu nae, najaribu kutafuta furaha mpya lakini bado siipati, nikijumlisha na 4g ya Jana ndio naishiwa pozi kabisa.
Ni baada ya kumtembelea bila kumwambia ndipo nikajikuta nimevamia Uhuru wa mwanaume mwezangu kujiachia na nimpendae. Sikuona umuhimu wa kuanzisha vurugu ndani ya kile chumba sababu kwa hasira nilizonazo ningetia hasara wallet yangu, namshukuru Mungu mpaka naondoka ndani ya ile nyumba wapangaji hawakufahamu alichokifanya mpangaji mwenzao labda baada ya mimi kuondoka.
Huyu ni mwanamke pekee ambaye hapo kabla niliona angalau ni wife material na sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake nilimuamini kiasi kwamba akawa yeye ndio muongozo wa maisha yangu kumbe najidanganya mwenyewe, kila alichotaka alikipata kumbe Kuna jamaa anapata anachokitaka kutoka kwa huyu mwanadada.
Kwa sasa msaada pekee nitakaoupata Ni kutoka CHAKO NI CHAKO, sitaki Tena mahusiano.
Babuuuuu nakuambia ivi..Ndio maana Ke anaweza kuishi na mtu bandidu kila siku anamdunda lkn yupo tu anakomaa.